Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala sijaomba heshima yako ,wewe na mamarosa mmechangia mkasema ana mitochondria za mamake kwa hivyo ni mzungu ,nimewashangaa Sana tangu lini mtu akawa na identity because of mitochondria?.
Leo nimekudharau sn, yn umejiaibisha mno hehehehee af inaonekana ushapiga chang'aa mana una quote watu hovyo, uliona nmeongelea habari za mitochondria hapa, acha kuendekeza chang'aa utaanguka kifudifudi watu wale 0713 hyo[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…