Kila mtu na maisha yake jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona hajalipa? Huyu Willy Paul ambaye analamba miguu ya WCB kila siku? Monthly Rent Tanzania is at least $50 that is a one room house!
Hahahahaaa!!kwhyo rent ya ksh 1000 willy paul hawezi lipia watu 500..Mbn unafananisha jua na mwezi? Ushaanza kutoa boko as usual [emoji3][emoji3]
Ngoja the only mwanaume akitoa rent utajua kiasi! Wivu wa kichoko si ruksa!Kila mtu na maisha yake jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu utadanganya wengine, eti rent ya tanzania uswazi ni $50 kw mwezi..
Ikienda juu sasa san ni tsh 30,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Utadanganya wengine kuhusu kodi za uswaziNgoja the only mwanaume akitoa rent utajua kiasi! Wivu wa kichoko si ruksa!
the only artist in Africa paying for rent to people during covid-19!
Fungua uzi basithe only artist in Africa paying for rent to people during covid-19!
imefufuliwaππππππ[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1431942
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha hasira we jibu tu πππππ
Buguruni ,chanika,jangwani,segerea, maeneo hayo yote chumba kimoja hakizidi Tsh 50000 which is equivalent to Ksh2300, kidogo kimara ndio utapata kodi unambiwa Tsh 60000 which is approximately ksh2700. Hakuna Kodi ya $50 kwa hayo maeneo labda vyumba viwili.Kila mtu na maisha yake jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu utadanganya wengine, eti rent ya tanzania uswazi ni $50 kw mwezi..
Ikienda juu sasa san ni tsh 30,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani umeshindwa kutupa za nyuma[emoji1787][emoji1787]imefufuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1432046
hii ni kimara chumba kimoja 100,000Mabibo,chang'ombe,gerezani, magomeni mikumi(lango la jiji),mwananyamala,mtongani,Sinza kijiweni,manzese, Argentina,muzimuni,tandale,bunju ,kinondoniBuguruni ,chanika,jangwani,segerea, maeneo hayo yote chumba kimoja hakizidi Tsh 50000 which is equivalent to Ksh2300, kidogo kimara ndio utapata kodi unambiwa Tsh 60000 which is approximately ksh2700. Hakuna Kodi ya $50 kwa hayo maeneo labda vyumba viwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Za wazungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyumba za wazungu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1431783View attachment 1431784View attachment 1431785View attachment 1431786View attachment 1431787View attachment 1431788View attachment 1431789View attachment 1431790View attachment 1431791View attachment 1431792View attachment 1431793View attachment 1431794View attachment 1431795
Hawa wazungu waendelee na moyo huo huo Hawa midanganyika wakasirike hadi wapasuke [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
upewe za nyuma wakat kq tunaongelea ya sasa hvi kwamba munamiliki ndege 3 na loss juuπππ
Ndio nakwambia aende akadanganye watu wa somalia hkoMabibo,chang'ombe,gerezani, magomeni mikumi(lango la jiji),mwananyamala,mtongani,Sinza kijiweni,manzese, Argentina,muzimuni,tandale,bunju ,kinondoniBuguruni ,chanika,jangwani,segerea, maeneo hayo yote chumba kimoja hakizidi Tsh 50000 which is equivalent to Ksh2300, kidogo kimara ndio utapata kodi unambiwa Tsh 60000 which is approximately ksh2700. Hakuna Kodi ya $50 kwa hayo maeneo labda vyumba viwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kq ya sasa hivi wala ya zamani jomba..kampuni ni ile ileupewe za nyuma wakat kq tunaongelea ya sasa hvi kwamba munamiliki ndege 3 na loss juu[emoji23][emoji23][emoji23]
hebu nenda usikie hilo jina tycoon wanaitwa watu wa aina gani ingia google uangalie hahaha joho tycoon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua wakat unaongelea hilo neno sikujua unamkusudia nani kumbe joho never ever
anamiliki nini joho labda uniambie anawaibia wakenya nikuamini ππππ