Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wealthy maana yake ni kuwa na million ngapi..
Manale nimeamua kwenda na wewe unavyotaka lkn wacha nipime akili zako km zinafanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mm nilivoelewa tycoon ni mtu tajiri aliepitiliza kiwango yani anauwezo mkubwa sana ndio maana linatumiaka kwa matajiri wakubwa sana hilo neno
 
komora096 mm naenda kulala ila ukae ufahamu joho bado sio tycoon yani bado sana mark my wordsπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
kwa mm nilivoelewa tycoon ni mtu tajiri aliepitiliza kiwango yani anauwezo mkubwa sana ndio maana linatumiaka kwa matajiri wakubwa sana hilo neno
Hahaaa!!basi umenoa, ndio manake nikakwambia usome vizuri uelewe...

Tycoon huja na maana nyingi jomba,
-Succesful bussinessman
-Wealthy and powerful(politician)
-Succesful in any industry...like km sekta ya marine ya yule jamaa wa azama hko kwenu..that guy is a tycoon hyo sekta
-sel-made millionare/ billionaire...na aka influence watu wengi sana kupitia kwake

Na pia jina km hilo lina mda wake, sidhani mtu km bill gate unaweza muweka katika category hyo kw sasa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ joho tycoon ahahaha kwa leo pumzika
 
Nimeitoa kwa jamaa fulani sio mby ku share nanyi [emoji116][emoji116][emoji116]

Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.

Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.

Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.

Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.

Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.

*Nikawa napeleka tanzawizi, muharobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*

Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.

Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.

So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.

So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.

Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii
 
Ndugu hilo suala la accounts achana nalo kabisa, it seems u r a layman kwny hyo sector, so it's better ukaachana nayo tu cz huu uhalo unaoutema hapa ni wa kimataifa kabisa.
Uhalo!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nway I might not be an accountant but I know that turnovers are not profits. Endelea kutetea kilaza mwenzako
 
Uhalo!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nway I might not be an accountant but I know that turnovers are not profits. Endelea kutetea kilaza mwenzako
Tumia dawa hii kwnz acha ku copy wazungu utapotea[emoji116][emoji116]
 
Road km ulimi dadadeki [emoji3][emoji3]
Umeumia eti πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
You even have the guts to mention roads. Dar kuna barabara za kulinganisha na za Nairobi? Wewe kweli kichaa
 
Yes waendele still nyie mko kwa cages zenu unakunya kunya at kunya land

Nyang'au tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba za wazungu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Hawa wazungu waendelee na moyo huo huo Hawa midanganyika wakasirike hadi wapasuke πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…