Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waaaaaaaaay to go πŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ€Έβ€β™‚οΈπŸ˜‚

Tanzania dream houses is about to happen πŸ€£πŸ€£πŸ˜οΈπŸ˜οΈπŸ˜οΈπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ˜œ

Weka niweke
 
We have reason why we can't survive in cages πŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Wanaokaa kwenye mabweni wapite mbali hii sio league yenu wakuda πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†


Potential Dream House πŸŒ πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ˜οΈ

 
Hii Kibada kuna kipindi fulani nlickia kulitakiwa kuwe na project, ss cjui ndo hii
Yeah Kibada and almost Kigamboni yote ina projects tofauti lakini nyingi zipo kwa developers ambao kila mmoja ana clients wenye personal preferences za structures za majengo, ni tofauti na Amidu Real-estate au Avic na wengine ambao wana fanya projects kwa preferences zao then clients wanakuja later kusort out.
 
Hilo eneo naomba pasitokee mtu akaenda kujenga cages km za kenya zitaaribu show kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…