Unaonesha uhalisia ss[emoji3][emoji3][emoji3]
mambo yamewakaa kooniπππSijawahi ona ndege ya polisi ama jeshi kule Tanzania.
View attachment 1428466View attachment 1428467View attachment 1428468
Yupo denial stage.Ama kweli ww ubongo wako ni mzito, yn kila siku hapa unawekewa mijengo ya adabu iliyojengwa kwa gharama kuliko estate zenu mnazojenga kwa tope na bado unalalamika, basi km hutaki pelekea WB malalamiko yako cz hyo co kazi yng buda.
Sababu hujawahi fika TzSijawahi ona ndege ya polisi ama jeshi kule Tanzania.
View attachment 1428466View attachment 1428467View attachment 1428468
Lake Victoria upande wa Mwanza iko vipi?? Upande wa Kenya inameza manyumba na mashamba vibayaSio huko tu, hata huku ni balaa tupu
Lakini we una akili? Unamazoea ya kupayuka bila hata kujua unaongelea nini. Nani akaongelea game?πππππππππππππStop embarrassing yourself, that's too low for the big city like Nairobi
Seems like Dodoma is your overwhelming dream on that game
Dodoma way better
LOL πππ I concluded both on the video actually πLakini we una akili? Unamazoea ya kupayuka bila hata kujua unaongelea nini. Nani akaongelea game?
I said, "Nairobi Street"
Kwa mwanza hakuna madhara sana labda bukobaLake Victoria upande wa Mwanza iko vipi?? Upande wa Kenya inameza manyumba na mashamba vibaya
Uliza upande wa lake zone upo vipi, Hujui hata Victoria imepita mikoa zaidi ya mi5 Tanzania.Lake Victoria upande wa Mwanza iko vipi?? Upande wa Kenya inameza manyumba na mashamba vibaya