huku kila mmoja anamiliki ardhi na kujenga nyumba anayotaka yeye hatujashikiwa akili ya kwenda kupanga kwenye estates za investors πππ munaishi hamuna hata ndoto ya kumiliki ardhi ndio hata below poverty line kenya ni kubwa sanaHebu leta five different gated communities nione kando ya hiyo umeleta hapo juu
umepanic mzee wa BRTππππHii ndio ile headquarters ya waganga na washirikina? Alafu what inspired you to post theses pictures?
ndio matumaini yako yalipoishia πππ jiji zima halina maji salama alaf unazungumzia kuhusu newyorkππ yani muna safari ya miaka 100 ndio maana hata akili zenu zimegandaDar is just a big fishing village called a city. Bado sana kwa jiji kuu la Afrika mashariki
I knew you got nothing to say. There are better and bigger housing estates in Nairobi kuliko hiyo Avic town yako and they are so many. Don't ever say eti tutafika hiyo level lini coz hayo ni mambo tumezoea hukuhuku kila mmoja anamiliki ardhi na kujenga nyumba anayotaka yeye hatujashikiwa akili ya kwenda kupanga kwenye estates za investors πππ munaishi hamuna hata ndoto ya kumiliki ardhi ndio hata below poverty line kenya ni kubwa sana
Sijawahi kosa maji mahali naishindio matumaini yako yalipoishia πππ jiji zima halina maji salama alaf unazungumzia kuhusu newyorkππ yani muna safari ya miaka 100 ndio maana hata akili zenu zimeganda
watu hujenga nyumba zao na kumiliki ardhi zao neno kupanga bedsitter huku halipoππI knew you got nothing to say. There are better and bigger housing estates in Nairobi kuliko hiyo Avic town yako and they are so many. Don't ever say eti tutafika hiyo level lini coz hayo ni mambo tumezoea huku
yani neno hakuna maji salama nairobi ni kama wimbo budaaππππalaf uko bzy kuitaja newyork hapa mambo muhimu kwa jamii yanawatoa makamasiSijawahi kosa maji mahali naishi
magu kaingia madarakani kaweza ku pump kutoa maji lake victoria mwanza na kufkisha tabora 350km na sasa yanaelekea dodomaππππππSijawahi kosa maji mahali naishi
siku utapta dampo la taka la kisasa kenya nzima kama hili lililopo mwanza nitag mmππππππSijawahi kosa maji mahali naishi
You mean those uswazi hovels covering three-quarters of your city ama?watu hujenga nyumba zao na kumiliki ardhi zao neno kupanga bedsitter huku halipoππView attachment 1428338
WOooooooiii,eneni uswazi,yani huna haya kule vituko kama hivi??poor LDC original π ππππππππView attachment 1428231View attachment 1428232
We jamaa kweli shujaa yn unapingana na mzungu aliyekufundisha kujenga estate au huelewi kingereza nkutafsirie [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]I knew you got nothing to say. There are better and bigger housing estates in Nairobi kuliko hiyo Avic town yako and they are so many. Don't ever say eti tutafika hiyo level lini coz hayo ni mambo tumezoea huku
Mass testing inafaa tu Kama watu wote watapimwa siku moja zaidi ya hapo hakuna kitu,ataishia kukutukana tu.. ni bora viongozi wao wanavyowaibia hela za umma!