President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,606
- 94,188
Ninakwambia wewe kijana unafanya vitu kwa kujifurahisha wewe mwenyewe.Mod sasa ni wakati wa kufuta huu uzi sababu Dar imeshuka ligi siku hizi ina compete na Kilimani so sioni haja uendele sababu Dar itazidikua victimView attachment 1427188View attachment 1427189
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatu is a City? By the way this thread is about Dar vs Nairobi.Huko TZ kuna city ingine kubwa na yenye iko na majengo makubwa kama ya dar? Apart from Nairobi Kenya, there is another city which is coming very soon and is called Tatu
Hautafungwa huu uzi ila nina wasiwasi baada ya sgr, jnhp, ubungo interchange, salender bridge, gerezani flyover, brt phase 2 na 3 na 8 lane road ya mwenge kukamilika (na co mda mrefu cz zote hzo zpo under construction) hawa wakenya humu wote watakimbia tutabaki pekeetu humu we ngoja uone.Ninakwambia wewe kijana unafanya vitu kwa kujifurahisha wewe mwenyewe.
You don't have exposure
Dar es salaam inaipita Nairobi kwa mambo mengi mno. Na kuhusu kufungwa huu uzi kwamba hautafungwa kama umeshindwa kaa pembeni watakuja wengine
U mean Nairobi is asleep??Hautafungwa huu uzi ila nina wasiwasi baada ya sgr, jnhp, ubungo interchange, salender bridge, gerezani flyover, brt phase 2 na 3 na 8 lane road ya mwenge kukamilika (na co mda mrefu cz zote hzo zpo under construction) hawa wakenya humu wote watakimbia tutabaki pekeetu humu we ngoja uone.
I can see you fear mighty Thika,unaona venye ilitoa jasho iringa๐๐Even in Thika[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1427180View attachment 1427181View attachment 1427182View attachment 1427185
inakamilika when naona building moja tu๐๐Hii project ikikamilika tuta switch hii battle iwe Kasarani vs DarView attachment 1427183View attachment 1427184
Sent using Jamii Forums mobile app
white elephant๐๐๐ toka nimiskia now is 10ys hamujafkia hata ukucha wa render yenyeweHuko TZ kuna city ingine kubwa na yenye iko na majengo makubwa kama ya dar? Apart from Nairobi Kenya, there is another city which is coming very soon and is called Tatu.. unaijua hiyo?
iko wapi ujenzi wa express way?? ๐๐U mean Nairobi is asleep??
Jkia-westlands expressway and flyover
Western bypass
Ngong road
Westlands to limuru superhighway
BRT
Link roads project
Railways overpass road
Dialling Eastern and Northern bypass
comutter railway project
Zikikamilika hizi tutaelewana tu..
Are you talking about ONLY BRT!?U mean Nairobi is asleep??
Jkia-westlands expressway and flyover
Western bypass
Ngong road
Westlands to limuru superhighway
BRT
Link roads project
Railways overpass road
Dialling Eastern and Northern bypass
comutter railway project
Zikikamilika hizi tutaelewana tu..
I talked about "affluence", not sizeni kubwa kuliko mombasa yote ๐๐๐ happy now
Viwanja "vyao"?? Here??? And did you say horrible?? ๐ ๐ ๐Akili yako ni finyu mno. Ubora wa jiji si maghorofa. Kuna Maeneo Kama Oysterbay na Masaki yamewekewa sheria ya urefu wa majengo ili kutunza uasilia wa maeneo hayo. Halafu, Watanzania wengi hawaishi kwenye mabanda ya kuku Kama nyie wakenya. Lifestyle yetu Ni tofauti mno. Wengi wanapenda kuishi kwenye viwanja vyao na nyumba zao lakini wewe unapoona hizo horrible apartment blocks akili inapaa unaona mko juu kumbe ni ujinga tu.
Dar ni kubwa kushinda hata New York but New York is ten million times better than your glorified fishing village. Tumia akili ya kuzaliwa sasaKijana nimekwambi acha utoto. Dar es salaam is almost 3 bigger than Nairobi.
Hayo majengo Dar ni mengi mno.
I mean 10fls buildings yanaweza kufika 1000.
Are you talking about ONLY BRT!?
View attachment 1427307
I wonโt waste my time, arguing with a fella who constantly posts screenshots of the same place over and over again. You do realize that thereโs more to Dar than that place right? Au Ni ujinga ndo umejaa akilini?Viwanja "vyao"?? Here??? And did you say horrible?? ๐ ๐ ๐ View attachment 1427323View attachment 1427324View attachment 1427325
Hebu tuoneshe BRT mnayojenga [emoji3][emoji3][emoji3]Dar ni kubwa kushinda hata New York but New York is ten million times better than your glorified fishing village. Tumia akili ya kuzaliwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]Zile tower tatu ziliwadanganya sana hadi mkafika level ya kufungua huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
uhehehe mukigusiwa kwenye size munakwenda mbio๐๐๐I talked about "affluence", not size
tafautisha dar na newyorkDar ni kubwa kushinda hata New York but New York is ten million times better than your glorified fishing village. Tumia akili ya kuzaliwa sasa
hio ndio shida iliobaki kichwani mwenu kufananisha nchi iliondelea na nchi zinazoendelea sijui wapi munakwama nyinyi ๐๐๐ yani developed city and developing city wapi na wapi?Dar ni kubwa kushinda hata New York but New York is ten million times better than your glorified fishing village. Tumia akili ya kuzaliwa sasa
wapi munajenga BRT ???๐๐๐ hebu tuoneshe usisahau kunionesha na sehemu munajenga express way๐ mamaee unatuletea ndoto za alinacha, hapa sio nairalandU mean Nairobi is asleep??
Jkia-westlands expressway and flyover
Western bypass
Ngong road
Westlands to limuru superhighway
BRT
Link roads project
Railways overpass road
Dialling Eastern and Northern bypass
comutter railway project
Zikikamilika hizi tutaelewana tu..