Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zile tower tatu ziliwadanganya sana hadi mkafika level ya kufungua huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako ni finyu mno. Ubora wa jiji si maghorofa. Kuna Maeneo Kama Oysterbay na Masaki yamewekewa sheria ya urefu wa majengo ili kutunza uasilia wa maeneo hayo. Halafu, Watanzania wengi hawaishi kwenye mabanda ya kuku Kama nyie wakenya. Lifestyle yetu Ni tofauti mno. Wengi wanapenda kuishi kwenye viwanja vyao na nyumba zao lakini wewe unapoona hizo horrible apartment blocks akili inapaa unaona mko juu kumbe ni ujinga tu.
 
Tunajua wabongolala huishi maisha mazuri kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uswazi tu,hiyo ni lifestyle poa sana kama ulaya hivo,poor ldc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…