Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo Geza kwa hii mada naona yupo upande wa Mo zaidi, hatukatai Mo ni tajiri pia ana mchango mkubwa katika jamii lkn usijaribu kumfananisha na SSB, hata kwa utajiri binafsi naamini Bakhressa yupo mbele sn ya metl, na hii inajidhihirisha wazi kuanzia products anazotengeneza, assets anazomiliki (very quality), lkn pia malipo kwa wafanyakazi wake yapo juu km utamlinganisha na Mo, ninachokiona mm ni kwamba Mo ana make sn, anatengeneza low quality products, mishahara mbuzi kwa wafanyakazi ili mradi tu atengeneze profits kubwa, hilo halipo kwa Bakhressa, hebu angalia tu ata mazingira ndani ya viwanda vyake huwezi kabisa kufananisha na Mo huo ndiyo ukweli tukubali tukatae, kuhusu kulipa kodi kubwa isiwe ndio kigezo cha kumkamua mwananchi cz itakuwa haina maana yoyote kwamba unalipa kodi kubwa lkn jamii inaumia.
 
Mbona hiyo imetangazwa?
 
Alipe kodi zaidi ya METL basi!
 
Metl wanamsumbua sana bakhresa,bakhresa bado hajaweza kumkamata mo kwenye mauzo...metl wale ni wanyama
 
Jamaa wanawachukulia poa metl
Unajua kuna kasumba imejengeka uswahili kwavile jamaa kila Ijumaa anagawa fedha misikitini (tena peanuts)! Basi anaongelewa na wale woote short-minded, cha ajabu sijawahi sikia Bakhresa foundation! Na kama mtu anajua mambo ya Industries na value addition huwezi kushindwa kuona viwanda vya METL vina faida zaidi kwa mustakabali wa Tanzania na nchi ya viwanda na vina future nzuri zaidi maana jamaa anaingia kwenye manufacturing haswa na si biashara ya kukoboa, kutengeneza Ice cream, kuoka mikate na kufungasha!

Jamaa analima na kununua (kutoka kwa wakulima wadogo nchini) chai, sisal, coton na palm oil, then anakoboa, ana-refine cooking oil pia ana-cotton/fiber twine/ana-assembly electronic/motorciycles/bajaj pia! Si mtu wa kulinganisha na anayefanya biashara ya uchuuzi tu! Bakhresa needs to do more kusema kweli! hata boat anazoleta hazina manufaa kama technological transfer ya ujenzi wake haipo! Anapaswa afungue branch ya kampuni ile ya Australia na Greece wawe wana assembly nchini! Hivyo tu nitaanza kumheshimu!

Nikiingia page ya METL naona Mo foundation, METL foundation na Singida yetu na giving back events with visible tangible results! Janga la Corona Virus Rostam na Mo tunaona wanachofanya! Huyu Bakhresa anafanya nn as CSR? Au anagawa sanitizer na mask kisiri? Inasaidia vp kipindi hiki cha ugonjwa? Waambieni waache ubahili maana uki-google Bakhresa utaona racing toy cars majumba na all sort of opulence ! Hata kuanza kuzalisha sukari ni mpaka alivyolazimishwa ila alikuwa mmoja wa waingizaji wazuri wa sukari nchini toka Brazil! Kama anavyoingiza ngano!

Rostam


Mo Dewji



Neelkanth chemicals company (part of Motisun group)
 
Nyinyi mlishachelewa sana kuuzuia huu ugonjwa na kwa sasa number zimefikia (258) huko Tanzania... Yani kwa kasi mnayotupita nayo haijatokea afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunawakati jotto la jiwe aliwahiweka score line ikiwa Kenya 182 vs 20 Tanzania...sasa aje second half asome score board inasoma covid 19 latest score (Kenya 280 vs 258 Tanzania)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…