The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
U mean Dar iko na CBD moja,posta,then unataka ku compare with Nairobi which has 3 CBDs,,poor LDC
Mbn umekimbia[emoji3][emoji3][emoji3]nairobi ina CBD ngapi?? hebu nieleze vzr na uje na official source kua nairobi ina CBD 3 ukipata mm ntakua wakwanza kufunga acc jamii forum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una umri gani?Aliwaambia muombe kutoka siku za mwanzo na bado anawwambia tu muombe hata baada ya 53 new cases in a day! Kwani maombi yenu yanapotea Kwa mawingu? Na vile mlifungia nyuzi hapa ndani kupenda kenya kuhusu Covid!! Karma is a biach 😂 😂 😂
Bruh 😂😂😂Hapa ni wapi kwenye hizo picha?
Kariakoo sio CBDKwa hivyo watu wanaishi kule cbd? Hii Dar yenu ni vituko kuruka 😂 😂
It seems hata maana ya CBD hujui!!!😎😎U mean Dar iko na CBD moja,posta,then unataka ku compare with Nairobi which has 3 CBDs,,poor LDC
anajifanya mwehu huyo😂😂😂Kariakoo sio CBD
hapo zinakuja sub balast alaf inakuja reli then wanamalizia na balasthiv hapo juu wanasubir nn kutandaza tracks? anyway, mie sio Yep Merkez
Google 4G Loon Balloons over Kenya. Providing 4 G internet to all parts of the country. Tanzania endelea kuwa LDCwacha ushamba