Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani kuna watu wanafananisha Mwanza na vitu vya kipumbavu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

 

Attachments

  • images - 2020-04-10T191226.567.jpeg
    10 KB · Views: 11
  • images - 2020-04-10T190943.361.jpeg
    21.6 KB · Views: 9
  • 27c29dc1.jpg
    113.5 KB · Views: 11
Tz noma sana, hv unadhani hao Mungiki wakipata nafasi ya kufika Iringa watatamani kurudi kwao unadhani
Yani wacheze kwengine waachane na iringa maana ins bus stage nzuri kuliko kenya nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Me naona kama mnafananisha iringa na uchafu

Thika ni kama kibaha yaani ni outskirt ya Nairobi, Hakuna tofauti kati ya kuwa thika na kuwa Nairobi, hata ukubwa wake ni aibu kuifananisha na Iringa
Ndio maana nashangaa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…