Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona yamekushinda ichoboy, ulale salama mr. Muongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkikamatwa kwenye ukweli munakasirika na siku utapata suburb ya kushindana na mwanza ww nitag mm nakusubiri toka juzi mbona nawasubiria ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ eti mombasa yote imepakwa white and blue unaona watu wajinga humu ndani
 
So usidanganye hapa kwamba mombasa yote imepkwa white and blue ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… yani musidanganye wakat mm nipo never ever wataftie wenzako suburb ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ”ซ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ’‰ ๐Ÿ’‰ hapa dawa imeingia vizuri
Jana umeshindwa kuja kumsaidia mwenzako katoka povu mwisho kufa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anatafuta suburb kwenye takataka
 
Kwani wenye pesa ni watatu,kanyumba kamoja kamoja 2,mwanza 90% ni usawazi,we know it ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ’‰
Uhehehehehe hzi povu au ndio unazuga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwenzako kakutana na kisiki jana hana hamu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
LOL this tiny congested slum does not even have outskirts ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Each picture you are dropping are from CBD ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Heheheh uchafu mtupu from CBD๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Dalili za kushindwa izo..tunakufahamu vizuri, you're a very bad loser

Hehe ikiwa mwanza your 2nd largest city inapewa kichapo ivo na the very old mombasa old town daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah unavotamka hayo maneno ni kama vile mombasa kuna new town?๐Ÿ˜‚ ndio hzo estate munatuonesha hapa choo cha mtu ndio chumba cha mtu kinapoanzia๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

msaidie mwenzako kuletea suburb maanza mwanza ni kisiki kwa mombasa hamuna hamu Jana kapokea kichapo humu kabakia kulia ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili za kushindwa izo..tunakufahamu vizuri, you're a very bad loser

Hehe ikiwa mwanza your 2nd largest city inapewa kichapo ivo na the very old mombasa old town daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anaejiamini haongei sana analeta suburb hapa ili ujiite wewe mwanaume sasa msaidie mwenzako jana kahangaika sana mwisho wake kaanza kuleta na uchafu humu ndani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naona unataka kuusafisha uongo wako, hahahaa!!utadanganya watu wa tandale wala sio mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ