Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,033
- 107,527
ngalawa!Nikiiangalia hii huwa nacheka mpk nalia, Magu peleka hii kwny makumbusho mana hata Safina la Nuhu lilikuwa bora kuliko huu ushuzi apa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1413325
Nauliza hiviii ndugu zangu wakenya hiki ni kivuko au karai [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1413313
Duh hiyo picha itakuwa ya zamani, hiyo barabara watu walishasahau kama iliwahi kuwa ya vumbi.Huku lami ni noma na ndio mji was pili kwa ukubwa Tanzania
View attachment 1413264
Picha?Duh hiyo picha itakuwa ya zamani, hiyo barabara watu walishasahau kama iliwahi kuwa ya vumbi.
Narudia tena,Kama kuna jiji hapo Tz linaweza chapa Mombasa kwa mitaa,bring it overKwenye suburb mavi yamekutoka πππ
Of course, unabishaIs this three level ????πππππ
Arusha uswazi TuHii ndio wafananishe na arusha ππππ
Dark es sluum tunayo hatuna? πBila kusahau slum ndani ya mji wa pili mkubwa kenya πππππππ
View attachment 1413298View attachment 1413299
Nikiiangalia hii huwa nacheka mpk nalia, Magu peleka hii kwny makumbusho mana hata Safina la Nuhu lilikuwa bora kuliko huu ushuzi apa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1413325
Made in Kenya for Tanzagiza πππ "Hapa Kazi Tu". Tuko na Viwanda Sio hizo Zenu viwonder. π
Interchange three level Kenya ilijengwa 2013. Continue dreamingKumbe bypass mm nilijua interchange ππ interchange yakwanza east africa three level interchange inajengwa dar unahabari hioππ
Utahangaika hapa mwenzangu. Kenya humuifikii asilani. Rwanda ndio kuwapita itowapita mkichezaKumbe bypass mm nilijua interchange ππ interchange yakwanza east africa three level interchange inajengwa dar unahabari hioππ
Dar sehemu gani Kuna udongo mwekundu?Dark es sluum tunayo hatuna? πView attachment 1413456
Bana hata msichekeshe na hizi drama zenu za kibongo za high School. Nairobi Terminus is a whole Karioko, and posta combined.Hebu tukumbushie white elephant imeishia wapi??ππππ
mushaanza kuhahaππππ
View attachment 1413181View attachment 1413180