anakuambia kuwa hiyo ndiyo kariakoo yao,,, yaani wanazo kariakoo nyingi. ...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huu ni uchafu gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise muna safari ndefu sana alaf unapost bila aibu kabisa
leta Kisumu kwanza!Sasa hii unaweza compete na city gani Kenya,coz ata eldoret haiwezi
Imekamilika halafu unaweka renders? Wewe punga kweli?
Imekamilika halafu unaweka renders? Wewe punga kweli?
Ustaadh unataka kumuanika uchi! Zile picha za December natumai unazo! 😀 😀 😀 😀Kisumu kuna nn hebu tuoneshe hospitali ya kisumu tuone hapa kama sijakuvua chupi wewe😄😄😄
Naona kuna strips /zones zikitenganishwa na Berlin walls!Huu uchafu unapatikana kiberaView attachment 1410909View attachment 1410910
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ka nairobi ni kadogo hv yn zile cages za kigamboni zikikaa nairobi zinaijaza nairobi nzima [emoji3][emoji3][emoji3]Dar=3*Nairobi in size!
Mkoa wa Dar es Salaam wenye eneo na km za mraba 1,800 ulianzishwa kutoka Mkoa wa Pwani mwaka 1973 ukiwa na Wilaya 3 za Ilala, Kinondoni na Temeke. Mamlaka za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Dar es Salaam zilizopo sasa zilianzishwa mwaka 2000 baada ya kuvunjwa kwa Tume ya Jiji iliyokuwepo kufuatia kuvunjwa kwa Serikali za Mitaa mwaka 1996 kulikoendelea hadi mwishoni mwa mwaka 1999.
Historia | Mkoa wa Dar es Salaam
Nairobi is 696 sq. km
2019 Kenya Population and Housing Census Volume I: Population by County and Sub-County - Kenya National Bureau of Statistics
[emoji3][emoji3][emoji3] ndo mana wanakuchukia mkuuAvic kigamboni [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1410900View attachment 1410901View attachment 1410902View attachment 1410903View attachment 1410904
Hiyo zooming rate wala sio issue kwasababu kwa rate hiyo ya zooming umeweza ku cover almost kilomita 5 ndani ya CBD moja kwa DarNilizoom upana wa eneo wala sio distance ya Kilimani kwenda Cbd, sababu border ya hizo area mbili ni park na hakuna majengo....halafu hilo eneo la Dar umeonyesha in km ndio developed.Ukitaka kujua point yangu pima eneo lote la Kilimani in km na upime eneo lote la Posta,kariokoo na upanga in km combined ndio unipe jibuView attachment 1410977View attachment 1410978
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ndege tuna-expect Boeing?hali imekuwa mbaya USA sababu ya corona.. boeing wanasimamisha dreamliner production.. ndege zetu mpya zitatoka kweli?
Joho is my governor boss, huyo huaga hayumbishwi na wala hapangiwi atafanya au kusema..Sasa kama Kunyatta wa Google baloons na fedha za online artists si level ya Joho kwenye covid-19 fight unawezaje kumtaja Makonda?
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala mwathadan
Hahaaa!!km manyatta vileUkiwaambi hii mwanza wanakua wakali[emoji23][emoji116]
View attachment 1410769View attachment 1410770View attachment 1410771
View attachment 1410774View attachment 1410775View attachment 1410776View attachment 1410777View attachment 1410778View attachment 1410777
Hahaaaa!!!km ni advance kulingana na chattle sawaThat Hospital is way advanced with Technology and Equipments than any hospital in Kisumu, watch the Video, and is just in a village
Sent using Jamii Forums mobile app
Full vumbiGood sanaritan cancer center, Ifakara
Good Samaritan Cancer Hospital Ifakara – Under Construction | Missionaries of Compassion
Dar imejaa vijiji weweDar=3*Nairobi in size!
Mkoa wa Dar es Salaam wenye eneo na km za mraba 1,800 ulianzishwa kutoka Mkoa wa Pwani mwaka 1973 ukiwa na Wilaya 3 za Ilala, Kinondoni na Temeke. Mamlaka za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Dar es Salaam zilizopo sasa zilianzishwa mwaka 2000 baada ya kuvunjwa kwa Tume ya Jiji iliyokuwepo kufuatia kuvunjwa kwa Serikali za Mitaa mwaka 1996 kulikoendelea hadi mwishoni mwa mwaka 1999.
Historia | Mkoa wa Dar es Salaam
Nairobi is 696 sq. km
2019 Kenya Population and Housing Census Volume I: Population by County and Sub-County - Kenya National Bureau of Statistics