Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,918
- 107,379
Shugulika na yenu yanayokuhusu, kimbele mbele kama mwanamke uache
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda huwezi muweka meza moja na joho kabisaseems Mombasa governor Joho is more brainer than the whole GoK! Practical solutions na si kuwalipa artists na ku-launch Google baloons! something Paul Makonda should emulate!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala mwathadan
Sasa kama Kunyatta wa Google baloons na fedha za online artists si level ya Joho kwenye covid-19 fight unawezaje kumtaja Makonda?
Kumbe fundi maico hana makosa ππ
Edward Wanjala hio mwanza budaa na nilikwambia hakuna mji wowote nje ya nairobi unaikamata mwanza kwenye suburbs na kama uko tayar niambieππππWakuu nimekutana na page konki ya mwanza ila tatizo ipo blocked
Nimejaribu kupekua maapps ya kupakua pictures huko lakini yote yamefeli
Kuna contents konki kuhusu Mwanza and the photographs quality ni another world πππ
Nimejaribu kushare lakini ndio hivyo lipage limegoma mpaka kufunguka mpaka umfollow.
View attachment 1410757View attachment 1410758View attachment 1410759View attachment 1410760View attachment 1410761View attachment 1410762
Kumbe ile picha wali screenshot hapo πππKumbe fundi maico hana makosa ππ
Imekamilika iko wapi???πππ
LOL πππ π π ππππ umejuaje nilikua nataka nimpe za chembeEdward Wanjala hio mwanza budaa na nilikwambia hakuna mji wowote nje ya nairobi unaikamata mwanza kwenye suburbs na kama uko tayar niambieππππ