Budget yenu ya afya ni shillingi ngapi huu mwaka?Ndugu impact ya tulichokifanya kwny sector ya afya huwezi kuiona leo, tupe miaka miwili mbele utaelewa namaanisha nn, hata kwny hyo article uliyoleta kuna sehemu wamekuandikia vzr kuhusu hilo [emoji116][emoji116]View attachment 1409807
Ngara Nairobi Kenya view from the CBDNyuma ya hayo majengo kuna dampo la makazi
Ni vile Dar inafanana na Mombasa.Nicxie Teargass Zigi Rizla mwaswast kujeni muone mwizi tumekamata huku inaiba hospitali za Tz inasema za kenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dark es sluum vs MombasaMombasa is now liveable than any city in Tanzania
View attachment 1410134View attachment 1410136View attachment 1410137View attachment 1410139
Huwez sema wachache bro wakat huduma taita taveta hakuna πππ kwan ww ndio ulikua unawalipia pesa za nauli???Km ni watu wa taveta waache waendelee kuvuka mpka tu, manake km ni hao hko ni km kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hospitali yenye 950beds mombasa au kisumu ukipata njoo tupambanishe na KCMCHahahaa!!ulitaka waende nairobi au mombasa wakati moshi nikuvuka mpaka tu..
Manake KCMC sio zahanati
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππ unalalamika nnHehehee!!si nilikutajia maeneo km ushago kw wakenya ukapinga, sasa unapswa ulete wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Is that official source ????πππTuwache kufananisha hospitals in terms of buildings,, facilities and health care is the key,see the best countries in Africa in regards to health care 2020,,hii stori tmemaliza,let's focus in other things
View attachment 1409769View attachment 1409770
Sio amelala ameua uchumi wa kenyaπππKwa hio article ya kenya imesema Uhuru amelalal??
Kwan pia umesahau budget yenu hua haikosi scandle ya wizi muna gaida gani nayo??
Mumeileta mombasa ije isaidie πππNi vile Dar inafanana na Mombasa.
Kwa mtandao wa Hospitali Kunyaland ipo nyuma!Mwenzako ka post ferry nikaamua kumjibu kw hoja..
Sasa km anarukaruka shauri yake
Sent using Jamii Forums mobile app
10. Water supplyVitu amabavyo hamutaziskia tena zikitajwa humu πππππ
1.Airport
2. Modern Bus stages and modern bus
3. General marine sector
4. Health care genaral
5. Footbal stadiums
6. Millionares
7. Airline
8. Super bridges
9. SGR
etc mutamalizia ππππ
Hahahaha, 50% ya bajeti yenu inaingia mifukoni. Hivi mnadhani pesa ndio inafanya kazi bila watu, hebu soma hii.
Rural electrical supplyVitu amabavyo hamutaziskia tena zikitajwa humu [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
1.Airport
2. Modern Bus stages and modern bus
3. General marine sector
4. Health care genaral
5. Footbal stadiums
6. Millionares
7. Airline
8. Super bridges
9. SGR
etc mutamalizia [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]