Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sector ambazo watashinda ni slums na njaa bila kusahau police killings hzo watashinda bila wasiwasi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwanza its unfair ku-compare low speed short distance Mv Jambo n Mv Safari to high speed long distance Sealink, Mv Mapinduzi and Seastar as their peers r Mv Magogoni Mv Kigamboni, Mv Kazi n Mv Kivukoni!
 
Ndipo nikakwambia malizana na hzo zenu tano kwanza halafu uje tupambane..
Yani hapa sitaki sijui nikupe kenyatta,moi..
Nitacheza na wewe nyanja za counties tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndipo nikakwambia malizana na hzo zenu tano kwanza halafu uje tupambane..
Yani hapa sitaki sijui nikupe kenyatta,moi..
Nitacheza na wewe nyanja za counties tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bakora leo imekuingia vyema magufuli atoe billions of money kujenga ultra modern hospitals alaf zikae tupu au sio au unafkiri ni ile tz ya 90๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndipo nikakwambia malizana na hzo zenu tano kwanza halafu uje tupambane..
Yani hapa sitaki sijui nikupe kenyatta,moi..
Nitacheza na wewe nyanja za counties tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee tuna hospitali nyingi mpya mpk uswazi mzee, moyo wako unavyokwambia kwmb usiguse sekta ya afya wala usiupinge, usikilize moyo wako utaumbuka nakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ