Wenzenu wanarusha makombora wazi wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwan hujui tanzania na korea kaskazini bothe are from socialism au umesahau history[emoji23][emoji23]
Hahahaha.
Kinoru in Embu
View attachment 1408671
View attachment 1408673
Kipchoge stadium Uasin Ngishu
View attachment 1408674
Bukhungu Stadium Kakamega
View attachment 1408679View attachment 1408682View attachment 1408684View attachment 1408685
Umepanic broWanjala narudia maneno yangu hakuna uwanja mkubwa kama huu CCM kirumba nje ya nairobi nielewe naongea nn[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1408686View attachment 1408687
ππππ Anahangaika tu muache. Namjua vizuri.
Yule ana nucleur mzee tishio kwa duniaWenzenu wanarusha makombora wazi wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nynyi endeleeni kuficha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana wanjala ananiletea uwanja au ushuzi wa bata πππ
Yaonesha dawa imekuingia sasa tafuta uwanja kama huo nje ya nairobi ukipata tu nitag ππππππ Anahangaika tu muache. Namjua vizuri.
vp kuna uhusiano na Kitengela Nairobi?Kitengule imetulia sana...Hizi zina serve Tegeta ,Bunju na Kunduchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkianza kupata barabara kama hizi mta lala kweli!?
Ndani ya hospitali hapa Kenyahaya sasa Wanjala na Hospitali yake ya Huruma aje aiweke hapa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Here is what ur doctors r saying!
Meanwhile gavana wa mombasa anajitahidi ili kuweka mambo sawaView attachment 1408785[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anahangaika tu muache. Namjua vizuri.
Wanjala punguza dharau nakwambia ππMkianza kupata barabara kama hizi mta lala kweli!?
View attachment 1408734View attachment 1408735
Mkijenga moja, twajenga kumi
View attachment 1408739View attachment 1408740View attachment 1408742
Najua huwezi kubali mzee, vile viwanja ni moto na bado ujenzi haujafika 100% na tayari vinatesaNimecheka sana wanjala ananiletea uwanja au ushuzi wa bata [emoji23][emoji23][emoji23]
Anachekesha maskini ya Munguππ hzo ndio stadium kabisa munapost humu mukipata stadium nitag mmNajua huwezi kubali mzee, vile viwanja ni moto na bado ujenzi haujafika 100% na tayari vinatesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nakupa home work tafuta the biggest and ultra modern hospital like this in mombasa or kisumu ukipata tu mm niwe kwanza kujuaπππππππ saidiana na Edward WanjalaMeanwhile gavana wa mombasa anajitahidi ili kuweka mambo sawaView attachment 1408785View attachment 1408786View attachment 1408787
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali hii yenu ya Dar Es Salaam ni nzuri na modern maanake imejengwa juzi. Yetu Kasarani ya 1982. Lakini umewahi jiuliza mbona inahost international sports kuliko yenu!? Jibu ni rahisi, it has international functionality and facilities way ahead of Nyerere.Anachekesha maskini ya Munguππ hzo ndio stadium kabisa munapost humu mukipata stadium nitag mm
Hahaha ww unakubali kila kitu ila huna budi kusema wazi japo unaumia sana moyoni ππNakubali hii yenu ya Dar Es Salaam ni nzuri na modern maanake imejengwa juzi. Yetu Kasarani ya 1982. Lakini umewahi jiuliza mbona inahost international sports kuliko yenu!? Jibu ni rahisi, it has international functionality and facilities way ahead of Nyerere.