Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

East and Central Africa's Economic power house. Tafakari hayo.
 
Ila economy ya Kenya si mchezo.....

hata iwe ICU vip, economy ya Tanzania si rahisi kuikuta. Kenya kuna hatua flan walishaipiga where sisi bado hata hatujaifikia hiyo hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila economy ya Kenya si mchezo.....

hata iwe ICU vip, economy ya Tanzania si rahisi kuikuta. Kenya kuna hatua flan walishaipiga where sisi bado hata hatujaifikia hiyo hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua gani hebu dadavua kidogo

Hebu leo iangazie china ya miaka 10 iliopita na china ya leo mabayo ni tishio kwa Uchumi dunia nzima yani imezipa joto nchi ambazo zimeendelea miaka 200

mark my words bro hakuna nchi uchumi umekufa kama kenya we subiri mutakuja nambia hapa
 
Ila economy ya Kenya si mchezo.....

hata iwe ICU vip, economy ya Tanzania si rahisi kuikuta. Kenya kuna hatua flan walishaipiga where sisi bado hata hatujaifikia hiyo hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
Nambie South Afrika co kenya mkuu, tunawalisha kwa asilimia kubwa af tusiwapite kwnn, Tz ina kila sababu za kuwa juu nchi yetu ni kubwa mara mbili ya kenya tuna rasilimali nyingi zaidi ya kenya tatzo viongozi walituangusha sn nchi hii, hebu angalia Magu ana miaka minne tu ofisini huu wa tano angalia anavyowakimbiza, let say Magu angeongoza gurudumu tangu mwaka 2000 af kasi ingekuwa hii hii unadhani ingekuwaje, ni ujinga wa hali ya juu Tz kupitwa na nchi nusu jangwa na icyo na mali kutuzid lkn leo mwamba umeinuka tunakaba kila kona na ww km huamini subiri uone pale Magu anakabidhi kijiti kwa mwngine af soma GDP and per capita income ya bongo itasoma ngp compared to Kenya
 
Yah ishu kujiamini na kusimamia kikamilifu unachokiamini
 
Natafakari kuona debt to GDP ratio 64%πŸ˜‚πŸ˜‚
The higher the debt to GDP ratio, the wealthier the country.

Hapa hupati LDC sijui Tanzania, Malawi ama Burundi.


Hapa pia hupati LDC


Hapa pia LDC kina TZ hawamo. Tupo ligi moja na wanaotaka kuwajengea Bagamoyo port. 😁😁 Takwimu bro hazidanganyi.


Nchi zote ziko hiki kikundi Cha mwisho ni LDC πŸ˜‚πŸ˜‚ sio Mimi nimesema...Takwimu msema kweli.
 
Sasa si mngekua na uchumi kama Malaysia. Wakenya kwa sifa balaa

kitochi
Ukweli ni kuwa Hatumo kundi lenu la wanyonge LDC. We are better off hata wewe unajua Hilo Ila linauma but itabidi uzoee πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…