Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Critical care bed sio ICU ila ni kitanda kinachoingizwa kwenye chumba cha ICU yani maana haitabadilika mark my words πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na ukitaka kujua maana ya ICU πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Critical care bed sio ICU ila ni kitanda kinachoingizwa kwenye chumba cha ICU yani maana haitabadilika mark my words [emoji23][emoji23][emoji23]

na ukitaka kujua maana ya ICU [emoji116][emoji116][emoji116]

Maana ya ICU hii hapa ulituletea jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro waambie ni kms ngapi toka CBD...


DMDP ni hatari sana,wamefanya maajabu huku yombo
Najua mzee huko yombo niliwahi kupita hapo cku moja nikawish kupiga picha niwaletee humu sema ckupata nafasi, papichulo km ukiweza just shoot video uwaletee humu maana bado hawajaelewa dmdp manaake nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…