Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anataka iandikwe ICU ndio aelewe. Si unajua kizungu kizungumkuti? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ahahahaha mamaee munafanya watu wapuuzi humu ndani kazi mulioifanya nyinyi kutandika vitanda kwa ajili ya wagonjwa wa corona na sio ICU labda hujui maana ya ICUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
518 beds and not ICU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hvi ww unajua maana ya ICU maana yake unaijua

mulichokifanya nyinyi kutandika vitanda ndani ya wodi kwa ajili ya wagonjwa wa corona and not ICUπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
518 beds and not ICU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hvi ww unajua maana ya ICU maana yake unaijua

mulichokifanya nyinyi kutandika vitanda ndani ya wodi kwa ajili ya wagonjwa wa corona and not ICUπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
ICU ni nini Dr Ichoboy? πŸ˜‚ labda utuelimishe kidogo leo
 
wacha nimsaidie kidogo, vitanda vya ICU ni kwa ajili ya wagonjwa wa ICU halafu hvyo critical care beds ni kw ajili ya wale wagonjwa amabao wako in critical condition[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
The later is called HDU (High Dependency Unit). Wako nazo nane tu in the entire country. Kweli hawa watu wametushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…