Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo unampigia mbuzi gitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi bhn ichoboy tuendelee na mambo mengine unajua wkt mwngne mtu mzima co mpk akuambie we mtazame tu usoni zen jaribu kumuelewa
 
Kwan mm naongea nn πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ kwani sasa hvi munakaa nyinyi miaka 12 maendeleo tanzania ni sawa na miaka 60 ya maendeleo yenu
Maendeleo gani mko nayo? Ya kuwa na maabara moja nchi nzima and 50 ICU beds? Hiyo ndio maendeleo kwa mujibu wa sisiemu??
 
Sisiemu ilwaambia wako mbele in matters healthcare. What do you expect a tanganyikan to do after such heavy words from sisiemu? They have to sing along of course. Kwa ground vitu ni different [emoji23] [emoji23]
Yani hadi nawasikitikia walai, mtu utamkuta anashangilia vitu kisa flani kasema..
Akili zengine bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna kitu imewaanika ni hii Coronavirus. Na hii majigambo yote Tanganyika and Zanzibar combined have only 50 ICU beds capable of handling Covid-19 patients while Kenya has over 350 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Niletee official source kenya ina ICU rooms 350 ukipata nitag mm wakwanza πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hakuna kizuri hapa,tofauti ya hapa na Mombasa n nini?tena katikati ya medium sized buildings naona slums
Mombasa ina suburbs za kukaa sambamba na mwanza???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jaribu uone bro
 
Yani hadi nawasikitikia walai, mtu utamkuta anashangilia vitu kisa flani kasema..
Akili zengine bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Coronavirus imeonyesha jinsi blind patriotism is a stupid thing. Unasifia kitu hauna!!! Are they even aware that we are in the process of starting to manufacture our own ventilators and protective gears? Kule South watu wanaambiwa waendelee na maombi πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Maendeleo gani mko nayo? Ya kuwa na maabara moja nchi nzima and 50 ICU beds? Hiyo ndio maendeleo kwa mujibu wa sisiemu??
Maendeleo gani tuko nayo sindio hayo ambayo yanawanyima usingizi au hujuiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ niletee official source kua kenya ina ICU 350 nakwambia ukipata nitag mm
 
Af ww na nicxie kila nkiangalia comments zenu I feel the signs of inferiority complex over Tz mna wasi wasi mnoo
Tanzania inipe inferiority complex πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Sema nchi nyingine, sio hii yenu ya viwonder
 
Tanzania inipe inferiority complex πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Sema nchi nyingine, sio hii yenu ya viwonder
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Maendeleo gani tuko nayo sindio hayo ambayo yanawanyima usingizi au hujuiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ niletee official source kua kenya ina ICU 350 nakwambia ukipata nitag mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…