sina pesa mzee kama vip nikopeshe maana hapo ni zaidi ya London yaani nyie wakenya ni noma nimewavulia kofia yaani nyie ni matajiri sana dunia nzima hakuna[emoji23][emoji2][emoji2][emoji1]
hao jamaa ni vichwa panzi sana[emoji23][emoji23]whats so special about this picture? au ni huo ufa hapo kwenye lami? hebu muwe mnapost vitu vya maana sio kujaza server na huu upuuzi
Same with Kilimani. It is still a residential district up to now but is slowly losing that tag thanks to many office blocks coming up in virtually all corners. But still, it doesn't have linear development like Kijito. The only place that has completely lost its residential tag is upper hill. Bungalows used to dot the whole area that is today Upper hill with highrises 15 years ago. Kijitonyama still has a long way to go to reach even the level of KilimaniI was just blowing your point out of the water about Upperhill roads as they are just an extension of CBD roads.
Kijitonyama is mainly a residential district with narrow roads, turning into a business district. Have you looked at how Sheikh Zayed road looked like in Dubai, back in the 90's?
😂 😂 😂 😂Piga eneo kubwa basi tuone vzr, unapiga vipande vipande maana yake nini [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1404024
Piga eneo kubwa basi tuone vzr, unapiga vipande vipande maana yake nini [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1404024
Hahaaa!!sasa huyo mama kusema ndio uthibitisho tosha wewe..Acha nikujuze, mamia ya watoto toka Kenya, wanakuja kutibiwa Moyo Muhimbili. Mamia ya watu wazima wanakuja kutibiwa Cancer katika Hospitali ya Ocean Road.
Kuhusu hao wanaovuka mpaka, sio watu walioko mipakani pekee, ukimsikiliza huyo mama toka Kenya aliyelazwa na kutibiwa Tanzania, anasema wakenya kutoka sehemu za katikati ya Kenya huvuka mpaka.
Kitu kimoja lazima mtofautishe kati ya Kenya na Tanzani, sisi tunajali watu wote, ninyi mnajali watu maarufu pekee. Nitajie mtanzania yeyote aliyekuja Kenya kutibiwa katika Hospitali ya serikali, ambako ndiko tunapima ubora wa huduma za Afya za nchi husika, sio Private Hospitals ambapo ni chini ya 1% ya wananchi wanauwezo wa kulipia gharama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwn siki hizi ubora wa nchi husika kuwa na hospitali na matibabu bora mpaka hizo hospitali ziwe za serikali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha nikujuze, mamia ya watoto toka Kenya, wanakuja kutibiwa Moyo Muhimbili. Mamia ya watu wazima wanakuja kutibiwa Cancer katika Hospitali ya Ocean Road.
Kuhusu hao wanaovuka mpaka, sio watu walioko mipakani pekee, ukimsikiliza huyo mama toka Kenya aliyelazwa na kutibiwa Tanzania, anasema wakenya kutoka sehemu za katikati ya Kenya huvuka mpaka.
Kitu kimoja lazima mtofautishe kati ya Kenya na Tanzani, sisi tunajali watu wote, ninyi mnajali watu maarufu pekee. Nitajie mtanzania yeyote aliyekuja Kenya kutibiwa katika Hospitali ya serikali, ambako ndiko tunapima ubora wa huduma za Afya za nchi husika, sio Private Hospitals ambapo ni chini ya 1% ya wananchi wanauwezo wa kulipia gharama.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kisha utawakuta hapa wanakata mauno
Povuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga eneo kubwa basi tuone vzr, unapiga vipande vipande maana yake nini [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1404024
Mwenzako kakuletea vitu mpaka umechnaganyikiwa...Hahaha[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1404058View attachment 1404059
Wooooiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]Nakupa zaidi ya hio[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1404049
Hii ni ya kitambo toa latest
Hii ni ya kitambo toa latest