naona bongo kumempenda kanawili...safiSijawahi kufikiria kama maji yanaweza kutolewa kama msaada, [emoji848]
Kwa mara ya kwanza naona maji ya bowser yakitolewa kama msaada [emoji38][emoji38][emoji38]
Hii inaonesha jinsi gani Kenya ina biggest water crisis
Is that Ruai slums? Ruai slum picha Nimekuletea na watu wameziona, mji wenu umezungukwa na slums pote na baada ya slums kuna vi-estate ndio unavyotaka kupotosha navyo 😂😂mnaioverate sana Nairobi but the reality ina dosari nyingi sanaDoes that look like a house to you? Ruai ndio hii kijana wa tandale. 100% better than the squalor you live in called a dream house.
View attachment 1402992
Ingia google earth ulete picha ya slums Ruai nione nicheke
Ruai "slum"View attachment 1402995
Dar middle class 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 1402996
Wewe umeitengeneza kwa lipi?Nicxie umejitoa Sana kuuharibu huu Uzi ,nashangaa wanaokufuata nyayo
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Picha gani ya Ruai slum umeleta? Ile ya nyumba iliyoporomoka ama? Ruai Hakuna slum hata utembee hadi wapi. Acha kulazimisha tufanane kijana. Hatuna huo mfumo wenu wa uswazi na hatutawahi kuwa nayoIs that Ruai slums? Ruai slum picha Nimekuletea na watu wameziona, mji wenu umezungukwa na slums pote na baada ya slums kuna vi-estate ndio unavyotaka kupotosha navyo 😂😂mnaioverate sana Nairobi but the reality ina dosari nyingi sana View attachment 1403116
Km sisi huku tulivyokuwa hatuna mfumo wa slums [emoji3][emoji3]Picha gani ya Ruai slum umeleta? Ile ya nyumba iliyoporomoka ama? Ruai Hakuna slum hata utembee hadi wapi. Acha kulazimisha tufanane kijana. Hatuna huo mfumo wenu wa uswazi na hatutawahi kuwa nayo
Niliwahi kuwaambia hiyo Upperhill na CBD ni sehemu hiyo hiyo ila wanavyoitukuza utafikiri ni mji mwingine wa mbali.I see upper hill and wesland in one pic
Each area from CBD is 3km, is volume okey to all😃😃😃
View attachment 1402830View attachment 1402831
Hii kitu ingetokea Tanzania, vyombo vya habari vya Kenya vingetangaza na kutuandika vibaya mno, kwa jinsi wanavyojifanya CNN na BBC wa East Africa.Ohhh wanakuja hapa magufuli dictator 👇👇
Hili ni bonge la kiwanda mkuu
Nimefatilia bidhaa zitakazozalishwa hapo sio viatu tu
Watazalisha
Viatu
Sandals
Soli
Mabegi
Pochi
Belt
Balls
Seat covers
Steeringwheel covers
Briefcase
Wallets
Pets belts
Watch belts
Portfolio covers
Furniture leather
Finished leather
Etc
Bidhaa zote za ngozi unazojua wewe for domestic and exports
🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji106][emoji106]
Sasa mnataka kutupangia Nai yetu mkiwa uswazini tandaleNiliwahi kuwaambia hiyo Upperhill na CBD ni sehemu hiyo hiyo ila wanavyoitukuza utafikiri ni mji mwingine wa mbali.
Na soko ni la kumwaga.this is very super cool! rasilimali (ngozi za mifugo) zipo za kutosha na ni lazima zitunufaishe sisi kwanza
Cafew imeanza nenda kalale haraka, usijenyoroshwa na karau.Sasa mnataka kutupangia Nai yetu mkiwa uswazini tandale
Naona sahii katika kikao hko pm umepewa hilo jukumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tecno c5[emoji23][emoji23][emoji23]tunataka tuone hii [emoji116]jinsi inavyozungukwa na uchafu halafu wanakuja kujadili humu et Nairobi iko planned than Dar [emoji23][emoji23]View attachment 1402723
Sawa na bure wakati bei za bidhaa hatukupishanaUnashangaa nini ss, hayo ndiyo maisha yetu huku, yn ni sawa na bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Minimum prices kwa mama ntilie;
Buda wewe mwenyewe unaona kabisa hizo nyumba za kwenu ukimwambia mtu kuwa ni ranch ya nguruwe anaamini ila hizo za uswazi atakukatalia kabisa
Kuna mtu alituletea picha menu ya kwa mama nitilie kenya nafikiri ichoboy, ingefaa atutumie tena tucheke hapa jinc wanavyouziwa kachumbari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mandazi madogo yamejaa upepo, andazi moja la tz = na matatu ya Kenya
Wakenya hadi kachumbari wanauziwa ksh50
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kwenye afya hatuna mpinzani ukanda huu