Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuweni makini na huyo mjinga,
Ana tabia ya kucrop picha za slums zao ili zionekane zile sehemu nzuri tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushahidi ni siku ile alivyo post riruta slum.
Hata wewe Ingia google earth utuletee ambazo haziko cropped. Nani amekuzuia?
 
Wapi nyumba ya mabati hapo bongolala?
Kwani kuanzia lini umepatwa na matatizo ya macho 😁😨remember that sio wewe tu unayeona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwamba ukishasema huoni nyumba ya mabati watu wataamini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi za kawangware ulizoleta si za block?
Nyinyi Endeleeni kuishi kwenye hizo dream houses zenu. Sisi huku kwetu hizo ni slums
 
Kwani kuanzia lini umepatwa na matatizo ya macho 😁😨remember that sio wewe tu unayeona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwamba ukishasema huoni nyumba ya mabati watu wataamini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I have asked you a very simple question: Wapi nyumba ya mabati Kwa Hiyo picha uliyoleta? Mbona mambo rahisi unaweka yawe magumu?
 
Hata wewe Ingia google earth utuletee ambazo haziko cropped. Nani amekuzuia?
Makasiriko ni ya nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii ndio riruta slum halisi wachana na alicho post,
Tena ni kama wameichapa filters hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyumba za mabati kama kawaida. View attachment 1371632View attachment 1371633View attachment 1371634
 
Kwani nani kabisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ni Slum ndio, na muache kujitapa tapa ovyo πŸ˜‚πŸ˜‚
So hizo za kawangware nyumba za block ni slums ila hizo zenu za block ni dream houses. Look at your life!!! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ohhh wanakuja hapa magufuli dictator πŸ‘‡πŸ‘‡

There are countries that are under total knockdown right now, if you know what that means. Does it mean their presidents are dictators?
 
There are countries that are under total knockdown right now, if you know what that means. Does it mean their presidents are dictators?
Kwahyo ww unatetea upuuzi unaofanywa na serikali ya kenya dhidi ya wananchi kwa kisingizio cha covid-19
 
Behind that collapsed building umeona nini πŸ‘‡View attachment 1402952
Does that look like a house to you? Ruai ndio hii kijana wa tandale. 100% better than the squalor you live in called a dream house.

Ingia google earth ulete picha ya slums Ruai nione nicheke

Ruai "slum"
Dar middle class πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…