Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23]nimeifuta.. tusubir serikali na forbes wanasemaje! but wameandika β€˜according to what he is invested added up’
nani ame-add up? Unajua the likes of Forbes kabla ya kutoa report zao wanatumia financial consulting firms kufanya findings zao! Sidhani kama utajiri wa Bakhresa unazidi $2 bln! That's is just my opinion!
 
Kwn hyo hela hku ndio huli[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya corona victims 42
Tanzania corona victims 13

Ukosefu wa maji jijini nairobi na ujinga wa viongozi wenu ni udhaifu unaotumiwa na kirusi cha corona,soon mtaanza kuona maajab
Hiyo 42 ilifika lini? Ama hivyo ndo sisiemu inavyowaambia?
 
Kumbe nairobery nako Mafuriko. Halafu hawa kenya wanacheka Tanzania Itabidi mnunue boti kipindi ya mafuriko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Capture+_2020-03-28-14-09-50.png
    519.4 KB · Views: 21
  • Capture+_2020-03-28-14-11-01.png
    512.3 KB · Views: 22
  • Capture+_2020-03-28-14-13-11.png
    258 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…