Eti kibanda cha room tatu nairobi, yani nilichela sanaNishamjibu Mwenzako. Aliniambia nijenge kibanda cha room tatu kama mnavyofanya hapo Dar nikamjibu kwamba sisi hatuna huo mfumo wenu wa dream houses ndio maana hazioni Nairobi
Kweli mkuu umemshinda ichoboy01 akili ingawa hata wewe ni punguani kidogo. Kawe na Kigamboni "City" zimewashinda mtaweza State of the Art museum Kama ya Senegal? Remember Senegal sio LDC.Kusema kweli siafiki upuuzi huo! Ikulu size ya Dar was ohk! Fedha nyingine wangejenga hata state of the art international conference center (kama ya sandton), state of the art museum kama ile ya Senegal (Museum of black civilization) na state of the art Library kama ya UDSM! State of the Hotels ama state of the art leisure parks pia zahitajika! Kweli mtu mmoja tumjengee mpaka airstrip? Hilo eneo ni zaidi ya campus ya UDOM, for what?
Kwhyo uswazi ndio middle class za dar[emoji23][emoji23]Uswazi maana yake ni makazi ambapo nyumba ni nzuri lakini hazijapangiliwa vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]ambako watu wa kipato cha chini huishi View attachment 1397894
Kuna vibanda vya room tatu kando ya pspf Yani CBDNishamjibu Mwenzako. Aliniambia nijenge kibanda cha room tatu kama mnavyofanya hapo Dar nikamjibu kwamba sisi hatuna huo mfumo wenu wa dream houses ndio maana hazioni Nairobi
Naona ni bora sababu tukicheza tunaweza kuja kuwa na slum-state-house kama KenyaIla is this necessary? kweli 34.5 sq km? why all that opulence?
Hehehehee ingekuwa wakenya tayari wangesha publish "The only country in the world to have two white houses"Ila is this necessary? kweli 34.5 sq km? why all that opulence?
WaTz wa Nyerere wala hawakuwa na mambo hayo, hz tabia mby na roho za cashiewnuts ni nyie mnaotufundshaHuu wimbo tumesikia toka enzi za Nyerere so you are not telling me anything new
Plan ipo, na ni vizuri kuwa na majengo kwa space kubwa, tumefanya makosa Dar, hatuwezi kuyarudia na Dodoma, as long as Hakuna aliekosa ardhi ya kuishi, let it be.Kusema kweli siafiki upuuzi huo! Ikulu size ya Dar was ohk! Fedha nyingine wangejenga hata state of the art international conference center (kama ya sandton), state of the art museum kama ile ya Senegal (Museum of black civilization) na state of the art Library kama ya UDSM! State of the Hotels ama state of the art leisure parks pia zahitajika! Kweli mtu mmoja tumjengee mpaka airstrip? Hilo eneo ni zaidi ya campus ya UDOM, for what?
Hz ziko wapi India au[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Nishamjibu Mwenzako. Aliniambia nijenge kibanda cha room tatu kama mnavyofanya hapo Dar nikamjibu kwamba sisi hatuna huo mfumo wenu wa dream houses ndio maana hazioni Nairobi
Haha kibanda cha room tatu nyie mnaita nyumba?nyumba inasifa za ziada
I know land is cheap is Dar and you can manage to get "kiwanja" as you call it for a few thousand shillings. Interestingly, you still end up building a dream house despite the cheap cost of land which begs the question: what is limiting you from building a descent house other than the dream house?Sasa kukufunza adabu ntakuja hapo Nairobi nakujenga moja...nikirudi Tz ndugu zako watapanga...nairobi this Nairobi that, unajiwekea ukuta mwenyewe haiwezekani haiwezekani kitu gani?plot ziko miji yote duniani na hazijWahi kuisha Acha kua kama fala
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv mkuu kuna ikulu ambayo haina kambi ya jeshi?Anawaamini sana Wanajeshi? Kambi ya jeshi Ikulu is a wrong idea!
That is kibera slum which is all government land. They don't own that land. Get the difference. Wewe unamiliki land but still end up building a dream house which is not any different from kibera slumHz ziko wapi India au[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1399947View attachment 1399948View attachment 1399949
Didn't you tell me that's how you do it in Dar and even "advised" me to build kibanda cha room tatu badala ya kurent apartment? Don't run away from your own words SusanaHaha kibanda cha room tatu nyie mnaita nyumba?nyumba inasifa za ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha lete hyo ya slums karibu na towers za Dar mm nshakuwekea apo slums around KICCLete aerial view kutoka angani unionyeshe hzo nyumba na mm nikuletee za dar kutoka angani nikuonyeshe slumkando na towers zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie lower income earners wanakaa wapi?
Acha kutupima akili kijana. Nionyeshe nyumba kama hiyo kwenye hizi picha. Am using these pictures because that's how the rest of Dar looks likeMy fren from Northen kibanda z something like this....
Sikua namaanisha zile takataka zenu zilizojaa slums muache ujingaView attachment 1399954
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha lete hyo ya slums karibu na towers za Dar mm nshakuwekea apo slums around KICC
Kumbe ndio maana wakenya mna maisha magumu sn hapa EA hammiliki ardhi ndani ya nchi yenu, Dah aisee hiyo dhambi aliileta baba yake Kenyatta hyoThat is kibera slum which is all government land. They don't own that land. Get the difference. Wewe unamiliki land but still end up building a dream house which is not any different from kibera slum