Yani unajikuta umerauka kumbe hujui km kuna wengine wamekesha[emoji1787][emoji1787]Ukipima speed ya kutokea 2015 mpaka 2019 ilhali miradi mingi ya barabara bado inajengwa na mingine ndo inaanza unaweza kupata picha mwisho wa mwaka huu mambo yatakavyokuwa
Wealth of a country is not measured by sijui poverty level, is measured by GDP
Nani hanakazi Kenya,we are working nation.hakuna mwenye anakaa kwa nyumba,we dont need to be employed, we are our own boss,Sijagusa unemployment rate😂😂👇👇👇
😂😂😂😂😂 GDP ambayo ina ushuzi wa debt to GDP ratio 64%😁😁😁😁Wealth of a country is not measured by sijui poverty level, is measured by GDP
Ahahahahah 😂😂😂👇👇👇Nani hanakazi Kenya,we are working nation.hakuna mwenye anakaa kwa nyumba,we dont need to be employed, we are our own boss,
wataelewa tuHuku ukijiharishia kuna mwiba mwingine washa saini ujezi tayar[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]wapi greenfield[emoji3][emoji3]
Kuna sehemu kichwa chako kinapata moto😂😂😂👇👇👇 Sio mm ni IMFWealth of a country is not measured by sijui poverty level, is measured by GDP
sasa huko turkana kwa jinsi kulivyo kukavu sinao watakufa,,, maana wameshindwa hata kuwahurumia wakenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]mwaswast naskia locust wamefika turkana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safari hii sijui munasubiri msaada kutoka wapi???
Locust kazi yao ni kupeleka umaskini 😃😃sasa huko turkana kwa jinsi kulivyo kukavu sinao watakufa,,, maana wameshindwa hata kuwahurumia wakenya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
CC: hydrogen Teargass Nicxie mwaswast Zigi Rizla sevenup Depay komora096 pingli-nywee Matrixx crabatKuna sehemu kichwa chako kinapata moto😂😂😂👇👇👇 Sio mm ni IMF
View attachment 1396399
Treni ya stima ya kubeba abiria haifiki bandariniTunashangaa Itakamilika lini iipiku hii ya Kenya [emoji16]
Treni ya abiria bandarini ikafanye nini?? Kwan treni ya abiria yenu inafika bandarini??😁
We fala kweli ww, yn tz ipitwe mpk na Uganda kwny quality of roads [emoji3][emoji3][emoji3] kapimwe CoronaHii tabia yako ya kutapika ujinga hujaiacha?
Top 10 African countries with quality roads
News / By Dianne Myles
Top 10 Africa January 8 at 6:43 pm
Top 10 African countries with quality roads
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
- Namibia (score 5.2) world ranking 23
- South Africa (score 5.0) world ranking 29
- Rwanda (score 5.0) world ranking 31
- Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
- Mauritius (score 4.7) world ranking 44
- Morocco (score 4.4) world ranking 55
- Kenya (score 4.2) world ranking 61
- Botswana (score 4.1) world ranking 6
- Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
- Senegal (score 4.0) world ranking 71
CBD ndo ina barabara poor quality namna hii? hebu angalia hizo sidewalk pavements! Ni matofali ya kuchoma ama tiles zimekuwa upside down? Na hiyo highway markings mbona zipo kwa edge? Ama standards za upana hazikuzingatiwa? Aisee Sonko amewafinya vibaya munooo! Pili traffic lights hazifanyi kazi labda hamna umeme! feel ashamed ku-post huu ujinga!