Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mkenya ana uwezo wa kumiliki nyumba,only you can own ni zile vibanda za mabati..kwa unataka kusema nairobi mmemuachia mchina na mhindi ajenge,ila nyie wakenya mmekimbia mji hadi ushago..you ar so funny
 
Hiyo picha ya Kwanza iliyoandikwa Temeke unaona bahari mahali? Ama leo hujala ile mchuzi wako unayopenda?
Hio picha ni pemben ya bahari we mpuuzi sana wewe ndio maana nakwambia hutapata slum in dar mpaka yesu ashukeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ na alieandika temeke ni ndugu yako bogus wewe
 
Mamaeee munaleta slums zenu wenyewe munatuambia dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unafkiri mzumgu mpuuzi sana asione slum uone wewe
Kwa hivyo mzungu ni Mungu? Look at how this bongolala is reasoning!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…