Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Kuna chi moja hapa inaovertake wengine kwa kasi kwelikweli ilhali barabara nyingi now zipo under construction & nyingine ndo zimetengewa budget:
View attachment 1388931
View attachment 1388932
View attachment 1388933
Hints: *Kuna wengine watajigamba kwa kuwa mbele alphabetically
Duuh, nyie jamaa hamfai🙂Key Words : Wapo Mbele Alphabetically .[emoji1476][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii speed *****...tuko fasta sanaKuna chi moja hapa inaovertake wengine kwa kasi kwelikweli ilhali barabara nyingi now zipo under construction & nyingine ndo zimetengewa budget:
View attachment 1388931
View attachment 1388932
View attachment 1388933
Hints: *Kuna wengine watajigamba kwa kuwa mbele alphabetically
Roho mbaya tuu kwa nini ,kama ni kufaharisha city wasiweke city center kule kule kwy milingoti ya the blues the giantbao jingine😁😁😁
Kuna chi moja hapa inaovertake wengine kwa kasi kwelikweli ilhali barabara nyingi now zipo under construction & nyingine ndo zimetengewa budget:
View attachment 1388931
View attachment 1388932
View attachment 1388933
Hints: *Kuna wengine watajigamba kwa kuwa mbele alphabetically
as long as Magu ni Rais, barabara bado zitaendelea kujengwa kwa speed ileile. Jamaa anapenda sana kujenga barabara. Nadhan it’s the first priority yake kwenye utawala wake
Nimeona huko KoT wanajisifia kuwa nchi ya kwanza EA kupata mgonjwa wa Corona.Key Words : Wapo Mbele Alphabetically .[emoji1476][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na kuhamia dodoma ni sawa na timu yamasnipers kujiposition on top of a tower.
Pia najiuliza hapa Dar tu wafanyabiashara na waajiriwa wanajaribu kufanya kilimo huko pwani, je itakuaje kwa dodoma yenye eneo kubwa + mikoa iliyopakana nayo?
Vipi kuhusu other opportunities? I believe there are so many of them to choose from compared to DSM. May the God give him more chances.
But, Pia najaribu kuimajine jinsi raisi atakaekuja baada ya magu atakavyokuna kichwa akitafuta kitu cha kuwafanyia waTZ ambao watakua wameshazoea ladha ya bullet trains, cheap eletricity, imroved health system, education, flyovers, bus stations na mengineyo. Ukitafakari hayo yote unagundua Magu atakua foundation ya mambo makubwa yajayo kuliko tunavyoona. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki J.P. Magufuli
Katika hili, wameshakubali hawana jinsimedia yao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]