Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
Hii kitu + bullet train vitakapokamilika kutakua na ubusy wa hali ya juu kwenye mipaka ya TZ na kenya
SureSGR inavyoingia mjini inapendeza kinoma ..nategemea..pia barabara ya morroco inavyopanulia ikiwekea BRT na yale mataa itapendeza...itabaki Kawe road na Mikocheni kupanuliwa kuwa 2*2 at least na nafasi ya BRT kati ila nyundo zitakuwa nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Look at this road,no street lights, poor lcd
Usilie basi, It's under construction. In the end, they will install solar-powered lightsLook at this road,no street lights, poor lcd
Nlikua nawatania majirani kuwa watakua nakatisha boda kuja kuexperince bullet trainsKivipi ?
Huo ni uhalisia wala sio jokesNlikua nawatania majirani kuwa watakua nakatisha boda kuja kuexperince bullet trains
Na kuhamia dodoma ni sawa na timu yamasnipers kujiposition on top of a tower.Huyu mzee ni game changer
Umesema kweli kabisa. Dodoma inatakiwa iongezewe fursa pia. Kama Kigali wanavyotaka iwe "Singapore ya Afrika" na pia Dodoma serikali ifanye hivyo. Wakijenga vivutio, international flights zitazidi kuwa nyingi kwenda Dodoma na watu watataka wainvest kwenye construction, health, infrastructure and many other areas. Dodoma inapaswa iwe zaidi hata ya Dar kuleta balance fulani hivi.Na kuhamia dodoma ni sawa na timu yamasnipers kujiposition on top of a tower.
Pia najiuliza hapa Dar tu wafanyabiashara na waajiriwa wanajaribu kufanya kilimo huko pwani, je itakuaje kwa dodoma yenye eneo kubwa + mikoa iliyopakana nayo?
Vipi kuhusu other opportunities? I believe there are so many of them to choose from compared to DSM. May the God give him more chances.
But, Pia najaribu kuimajine jinsi raisi atakaekuja baada ya magu atakavyokuna kichwa akitafuta kitu cha kuwafanyia waTZ ambao watakua wameshazoea ladha ya bullet trains, cheap eletricity, imroved health system, education, flyovers, bus stations na mengineyo. Ukitafakari hayo yote unagundua Magu atakua foundation ya mambo makubwa yajayo kuliko tunavyoona. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki J.P. Magufuli
KabisaUmesema kweli kabisa. Dodoma inatakiwa iongezewe fursa pia. Kama Kigali wanavyotaka iwe "Singapore ya Afrika" na pia Dodoma serikali ifanye hivyo. Wakijenga vivutio, international flights zitazidi kuwa nyingi kwenda Dodoma na watu watataka wainvest kwenye construction, health, infrastructure and many other areas. Dodoma inapaswa iwe zaidi hata ya Dar kuleta balance fulani hivi.
Nmecheka sn[emoji3][emoji3]mwaswast hii ndio ferry kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aise nimecheka mpaka basi hii ni nn???
View attachment 1386963
Ona ferry tulizotengeza sisi huku[emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1386965View attachment 1386966View attachment 1386967View attachment 1386968
Tupia mkuu af nitag mm nimsaminishe [emoji3][emoji3]Hii monkey Mwaswast nipo na picha yake.. Ikiwasumbua semeni niweke[emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani wanapaswa kujifunza value for money [emoji3][emoji3] msumari huoo km render dadadeki, wafananishe na flyover zao uchaf
Kumbe ilikuwa propaganda ya mkenya daahh hawa jamaa wanahofu sn na tz ila wamechemsha lkn pia km wanataka kuchafuana cc ndo wenyewe wataomba poo we subiri, yn nlishangaa sn nchi hii jnc ilivyojitahd kuziba mianya ya wauza unga eti leo tunaambiwa ni hub ya powder, kwa hakika wakenya wana laana sn.Natumaini ban kwa gazeti hili
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Matrixx