Ulitakaje kwani kaka, Design ya kiwanja cha Msalato iko poa tu,na imepita kwny mikono ya wakubwa wote,shida watu wa wengi walitegemea Dodoma kutakuwa na vitu vikubwa vikubwa tu, kuna kitu kinaitwa economic viability....kwa sasa na miaka kadhaa ijayo Dodoma inahitaji Terminal Building ya size hiyo
Uko sawa Geza tatizo watu wali expect Dodoma itakuwa na mavitu makubwa makubwa bila kufikiri maswala ya economic viability....Hiyo Terminal iko poa na ndio inayohitajika kwa sasa na miaka kadhaa ijayo,kikubwa ni kuhakikisha iwe na facilities za hali ya juu tu.
Uhehehe safari hii 💉💉💉💉 zimeingia vyemaSamahani kwa kulinganisha Mombasa na Dark es salaam 😂
Naona umepost renders vp ???😀😀😀😀😀
Jubilee tano tena😀😀😀😀😀👇👇👇👇Samahani kwa kulinganisha Mombasa na Dark es salaam 😂
nini kinakuja? phase III launch?Wanasema tukae tayar mkao wa kula
Inaonesha ni jinsi gani Dar = nairobi + mombasaHehehe mamaee unaota ndoto za alinacha😁😁
Kweli bro, zimekuingia nne Hadi kwa mfupa.Uhehehe safari hii 💉💉💉💉 zimeingia vyema
Hvi Mombasa ina millionares wangap hebu nikumbushe nimesahau🤣🤣🤣🤣🤣Kweli bro, zimekuingia nne Hadi kwa mfupa.
Same houses different angles1. Posta
View attachment 1386628
2. Kijitonyama
View attachment 1386630
3. Upanga
View attachment 1386631
Sent from my iPhone using JamiiForums
Okay.Ni sawa wewe unayetumia akili uko sahihi.Tumia akili kidogo Nani kaongelea ukubwa wa uwanja mm nimesema design mbaya sijaongelea ukubwa wala gharama za uwanja ukikosea design tu ni sawa sawa na kuchezea Pesa unaweza kujenga nyumba ya mil400 mwenzako akajenga ya milioni 80 tu ila watu wakaiona iyo ya mil80 ni nzuri Mara 5 ya ile ya mil400 huo uwanja ni mbaya hata terminal 2 ya dar ni nzuri kuliko huo
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Ina port kubwa kuliko DarHvi Mombasa ina millionares wangap hebu nikumbushe nimesahau🤣🤣🤣🤣🤣
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Matrixx💉💉💉💉💉🤣🤣🤣🤣👇👇👇mchawi wenu
View attachment 1386642