This is 2020 my fren hata last yr hakukua na coronaOH my bad! PEAK VALUE of GDP(PPP)as of 2019 IMF figures KENYA190.970 TANZANIA 186.060.
Kila siku anakula ban na kuja na id mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona anatia huruma na simu anayotumia
wakati mwingine unaweza kukuta kampuni haikuwa na uwezo wa kuwania tenda ya SGR lakini ikafanya udanganyifu kwa tamaa! Nadhani kama serikali ilifanya lake kuwapa tender wakashindwa kufikia makubaliano. hayo ya madeni Bank haiihusu serikali inakaa ni madeni ya tangu kitambo! inakaa walishinda tender kwa udanganyifu maana haiingii akilini ina madeni na inashinda tender!hawa wote ni locals.. kwann wasihurumiane na kubebana 🤦🏽♂️
Ohh sisi GDP kubwa locusts wanawatoa ushuzi😁😁Nataka nikupeleke taratibu mkuu
Masada ndio nani?
Shirika la Misaada la Uingereza lamimina mamilioni Mwanza
Thanks for render😁😁😁 unaona watu humu wajinga sana au sio
Yani hawa watalia nyie subirini huu mwaka uishe😁[emoji91]
Hahahaha mbona nimewasaidia ku-post progress ya big 4 agenda?Hvi mushagundua humu ndani kua wakenya washaanza kuonesha dalili za kushindwa 😁😁😁😁😁 wameanza kupost vitu ovyo ovyo na hio ni dalili moja wapo ya kukata tamaa
Hii thread kwa sasa imewakalia vibaya sana bro trust me, na leo wanachokiona wahakuwah kufkiria walijua dunia inazunguka Kenya pekee walijisahau kwamba usimwamshe alie lala😁😁😁😁😁Hahahaha mbona nimewasaidia ku-post progress ya big 4 agenda?
ati nyie mbona mpo kimya? Maumivu ya Isiolo airport nn?[emoji91]
Shirika la Misaada la Uingereza lamimina mamilioni MwanzaOhh sisi GDP kubwa locusts wanawatoa ushuzi😁😁
PitiaTIGONI LIMURU LAKE HOUSE,THAYU LODGE ...and WINDSOR all in KIAMBU COUNTYView attachment 1386175View attachment 1386176View attachment 1386177View attachment 1386178View attachment 1386179View attachment 1386180View attachment 1386181View attachment 1386182View attachment 1386183View attachment 1386184View attachment 1386185View attachment 1386186
Hapa ni Mombasa?
Wewe ni ndimu yaani unaji comentisha mwenyeweNSE housed at this building belowView attachment 1386170View attachment 1386171View attachment 1386172