Hii mawaidha ingemfaidi yeye kuliko miminiko kwenye huu uzi kabla hujaja niliwahi sema nilifungua account jf kwa ajili ya huu uzi ivo naelewa hata kama mtu akirudia kitu kukosea mara nyingi ila kama we n mwerevu unampotezea tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Hii mawaidha ingemfaidi yeye kuliko mimi
So wao wamekosea wewe umepatia 😁😁😁😁 2018 is not 2020 kama muliporomoka kwa uchumi mbovu haiwez badilikia numbers🤣🤣🤣Mada ya millionaires is neither here nor there. Knight and Frank stated that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2018 and was the third in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How that number has dropped by 6,000 people in just over one year only them can explain
Kilio kitaishia hapa😁😁😁👇👇👇 sasa tumebakiza ushuzi wa GDPMada ya millionaires is neither here nor there. Knight and Frank stated that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2018 and was the third in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How that number has dropped by 6,000 people in just over one year only them can explain
Achana nae huyo anawivu sana na maendeleo ya Tanzania yani ni wajinga sana hawajui Tanzania ikiendelea east Africa imeendelea pia😁😁😁niko kwenye huu uzi kabla hujaja niliwahi sema nilifungua account jf kwa ajili ya huu uzi ivo naelewa hata kama mtu akirudia kitu kukosea mara nyingi ila kama we n mwerevu unampotezea tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu sio muda wa kujiuliza, ripoti imeshatoka na imeshasambaa dunia nzima. Mpaka hapo itakapotoka ripoti mpya na kupindua hii ya sasa hivi ndio utapata jibu, kwa sasa hivi taarifa iliyopo duniani ni kwamba " Tanzania ina idadi kubwa ya $Millionaires kuliko Kenya + Uganda + Rwanda + Burundi kwa pamoja. Tanzania hoyeeeee.Mada ya millionaires is neither here nor there. Knight and Frank stated that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2018 and was the third in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How that number has dropped by 6,000 people in just over one year only them can explain
Distance ya mita 200 vs 10000 [emoji23][emoji23][emoji23], millionaire hawapo kwenu acha kucompare diesel sgr [emoji23][emoji23]
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Tafadhali usijaze server bure. Nenda ukaanzishe thread ya joburg vs nairobi, hatutaki takataka humuSector ya majengo Jo'burg haiezani na NairobiView attachment 1384079View attachment 1384080
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekosa content tangu alivyo jisahau akapost picha yake humu 😂😂😂Achana nae huyo anawivu sana na maendeleo ya Tanzania yani ni wajinga sana hawajui Tanzania ikiendelea east Africa imeendelea pia😁😁😁
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Amekosa content tangu alivyo jisahau akapost picha yake humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anatafuta slums Dar akajipost 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ulienda shule ww? Km umeenda bac haiwezi kukusaidia, hio mada joburg na nairobi inahusiana nn na huu uzi, au ndio baada ya kushindwa humu mnaanza kuuharibu uzi makusudi, acha utoto km umeshindwa achana na huu uzi, mjinga mmoja usitake wote tuonekane wajinga humu.Sector ya majengo Jo'burg haiezani na NairobiView attachment 1384079View attachment 1384080
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes hata kama huipendi Nairobi au Kenya,tupogenze tu kwa maendeleo yetuTafadhali usijaze server bure. Nenda ukaanzishe thread ya joburg vs nairobi, hatutaki takataka humu
Sina chuki na Nairobi wala Kenya. Tatizo ni kuwa wewe unaleta mada isiyohusika kabisa na purpose ya hii thread.Sometimes hata kama huipendi Nairobi au Kenya,tupogenze tu kwa maendeleo yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicxie keshafeli, teargass keshafeli wanaendelea na battle kwasabu ya mazoea tu ila hawana hamu kabisa cz walivyodhani mwanzo ni tofauti na walichokuja kugundua kuanzia utaalamu wa kujibu hoja mpk maendeleo ya nchi, walikuwa wanajiongopea wao ndio wenye akili hapa EA na nchi yao pekee ndio yenye maendeleo katika ukanda huu na nchi zingine zipo zipo tu, ss kupitia huu uzi wamegundua kuna baba lao ktk ukanda huu ila halipigi kelele linamfukuza mwizi kmy kmy [emoji3][emoji3][emoji3]Alikuwa anatafuta slums Dar akajipost [emoji23][emoji23][emoji23]
Ripoti ya knight frank ndio imewachapa zaidi 😂😂😂Nicxie keshafeli, teargass keshafeli wanaendelea na battle kwasabu ya mazoea tu ila hawana hamu kabisa cz walivyodhani mwanzo ni tofauti walichokuja kugundua, walikuwa wanajiongopea nchi yao pekee ndio yenye maendeleo katika ukanda huu na nchi zingine zipo zipo tu, ss kupitia huu uzi wamegundua kuna baba lao ktk ukanda huu ila halipigi kelele linamfukuza mwizi kmy kmy [emoji3][emoji3][emoji3]
Ww huna akili hata ya kuvukia barabara, hvyo unapaswa kupuuzwa tu km wahuni wengine.Sometimes hata kama huipendi Nairobi au Kenya,tupogenze tu kwa maendeleo yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo report imewahi sn kuja, mm nilitaka ichelewe kdg mpk joka lije liwachezee siri zao af ndo report ije, but co mby wkt wakijiuliza inakuwaje wapitwe idadi ya wenye mbumba, joka hili apa na ndpo watakapo logout jf na wataichukia sn[emoji3][emoji3]Ripoti ya knight frank ndio imewachapa zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]