Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi kubali kama imekusaidia lakini ukweli unaujua moyoni mwako japo unaumia kimya kimya🤣🤣🤣🤣 mzee wa BRT bomu lako lipo jikoni lisubiri tu yani ntakuangushia mzigo mpaka ukimbie humu ndani
 
Bro kupayuka sana huku jf hakuongezi millionaire yeyote Kenya, cha msingi pambana na hali yako 😅😅😅
 

ndo umefika hapa? pole sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi kubali kama imekusaidia lakini ukweli unaujua moyoni mwako japo unaumia kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee wa BRT bomu lako lipo jikoni lisubiri tu yani ntakuangushia mzigo mpaka ukimbie humu ndani
Na asije akakana kwmb hajawahi kuleta hzo taarifa za BRT feki icyo na sign board, yn mradi mkubwa hauna maelezo yyte kuonesha who's financier, who's contractor, who's employer aisee ichoboy we mlipue tu mana huu uhuni ni wa kiwango cha juu sn[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Labda akidhani hapa tupo nairaland wamezoea kuwadanganya wanaigeria huko😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…