Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kusema kweli kwny hili sakata kwa namna moja ama nyingine serikali imejitahidi sana kwakweli, hii ishu ilikuwa wazi wazi kabisa na imeumiza sn vijana na jamii kwa ujumla lkn tunamshukuru Jpm amefanya alichoahidi pale bungeni cku anafungua bunge, na kweli hz hbr za madawa zmepungua sn kwa ss sizisikii kwa kiwango kile cha miaka ile ya 2015 kurudi nyuma.
 
Kabisa mkuu serikali imejitahidi sana.
 
Mimi nmeanza na wewe , blue towers ziko kustay haziendi mahali just like magofu yenu ya GTC mnavyoyapost mbona tumekausha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
So why the hell are you complaining? Just the same way dream houses are here to stay and I will post them as much as I want to remind you of the filth you have down there everytime you repost kibera photos
 
And did you know that those same URLs also indicate date of downloads just the same way they indicate the date a picture was taken?
 
And did you know that those same URLs also indicate date of downloads just the same way they indicate the date a picture was taken?
Date of downloads itakuandikia kwenye simu yako huko,
Ila ukipiga picha kwenye simu yako itakuandikia tarehe pamoja na saa ambayo picha ilipigwa na hata ukiupload humu jf itajitengenezea url, hiyo url itaonesha tarehe ya siku uliyopiga hiyo picha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mnaisemea hii au?
mana hii picha niliisave ili nimzodoe baadae
View attachment 1377939

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Niliona mtu kapost screen shot ya Desk top Computer yake , Halafu kila kitu kinaonekana, Facebook name, Google account etc, na link zote alizofungua, wengine wanabet [emoji23].


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Niliona pia, alipost render za jengo fulani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au Kuna mwingine.
 
kijana, acha kujifanya unajua kuliko uwezo wako. A downloaded picture has a URL that indicates the date and time of the download and this information is passed everywhere that picture is uploaded, just the same way a camera picture does. Why do you think that a downloaded picture shows different URL information from camera photos? All done and dusted, why is it so hard for you to show the a screenshot of the post? You have the picture but you can't do a simple screenshot!!! How stupid
 
Acha ujuaji kama hujui kitu tulia,
Soma tena nilichokiandika sio kuruka ruka ovyo hapa kama locust.
 
Acha ujuaji kama hujui kitu tulia,
Soma tena nilichokiandika sio kuruka ruka ovyo hapa kama locust.
I understood what you wrote so well and that's why I responded. Mimi sio kilaza kama wewe. Leta screenshot that I posted that picture badala ya kupiga domo
 
Huyo tena ni mimi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kweli nyinyi vilaza. I have never used a desktop to access JF. I always use my phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…