Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni mara ya 30 nmekuhesabia unarudia hz picha [emoji3][emoji3]
Sirudii picha yoyote. Am showing different areas of Dar and they all look the same. Uswazi imenyonga jiji, haipati hata nafasi ya kupumua πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hehehehehe the real definition [emoji116][emoji116] [emoji3][emoji3]
 
Umeona ss, I told you huna picha za kuichoresha Dar ww, haya umerudi pale pale picha 5 na hii ni mara ya 34 unarudia [emoji3][emoji3]
Look bongolala, I know it's painful ila usijafanye kusoma pia hujui. Nimeleta picha za mitaa nyingi tu zenye level ya middle class kama vile Sinza, Segerea, Mwananyamala, Tabata, na Mbagala. Those alone are six already. Hapo sijaingia Kinondoni, Tandale, Masenze, Gongo la mboto, Ubongo na maeneo mengine kibao which by the way are all middle class estates. If you want more itisha tu nitakuletea
 
Majina tu inaonesha fika umehadithiwa wala hujui [emoji3][emoji3] ss kwa taarifa yako mwambie aliekuhadithia arudie upya
Roadside kiosks??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] That's so petty. What then do you have to say about these dream houses in yellow ? View attachment 1377288
Ona ulivyo na jealous,[emoji121][emoji121] hyo picha imekupenya vilivyo unamtafuta mchawi[emoji3][emoji3]

Ukinionesha quality airport km hii ndani ya Nairobi ntatuma ujumbe kwa mods wani ban ucku huu huu daadekii [emoji116][emoji116]
 
Wewe sasa unakufa kifo cha maji. You are hanging on anything you think can save your sorry a**. Umebaki tu ukibadilisha magoli. Ilianza Na cbd sasa umeenda airport. Kweli hii ngoma ya residential areas ni nzito kwako. Kojoa ulale sasa, ushalemewa
 
Wewe sasa unakufa kifo cha maji. You are hanging on anything you think can save your sorry a**. Umebaki tu ukibadilisha magoli. Ilianza Na cbd sasa umeenda airport. Kweli hii ngoma ya residential areas ni nzito kwako. Kojoa ulale sasa, ushalemewa
Ss residential ndg hatuwezi fanana ww utaniletea picha chache za cages wanazoishi wageni, mm nkikuletea nyumba halisi mnazoishi Wakenya about 60% utaanza kulia oohh mbn unaleta slum yn unavyopachukia utadhani ww hauishi humo, ndo mana nmeona bora nkuletee Amsterdam Schiphol Airport of Africa ulie vzr.
 
Huyo demu mwenyewe naye anaishi hapo, hakuna la kushangaza.
 
LOL estates in nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



Calling them slums calling them estates but they won't escape the fact that they are worst habitats for human consumption πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Your lame excuse is not working and doesn't make even sense.
 

Attachments

  • images - 2020-03-02T105128.741.jpeg
    60.2 KB · Views: 20
  • images - 2020-03-01T111404.533.jpeg
    51.1 KB · Views: 16
  • images - 2020-03-01T111334.757.jpeg
    40.4 KB · Views: 20
komora096 hii apa bullet train ya Tanzania [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]


View attachment 1377308
Don't give up budaa, ipo cku tutafanana endeleeni kukesha mkiomba[emoji3][emoji3][emoji3]
Wakuu Punguzeni mchecheto Treni za Tanzania bdo TRC/Serikali hazijatangazwa ni nani alieshinda Tenda ya kusupply hizo EMU's, atatangazwa mshindi ni nani na ni kwa kiasi gani zitacost then mtaoneshwa renders ama replicas zake au picha za mfano wa makampuni ambayo yanatumia model kama hizo na pia itatolewa time frame yake ya kuzitengeneza na mpka kuzisafirisha na kufika hapa TZ(Utaratibu ndo uko hvyo) , so kuweni na subra msipost post tu mapicha mapicha ambayo yanapotosha uhalisia na pia nawashauri mulimit/mupunguze kdgo expectations na majigambo yenu coz zinaweza pia kuchaguliwa treni za umeme ila ambazo hazina mvuto tukaambulia kuchekwa humu ndani na majiraniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

hizi ni link za website ambazo taarifa zote za treni duniani zipo so TZ ikichagua tu kampuni ya hizo treni basi hapa taarifa lazima mtaziona.
Rail business, industry and technology news from Railway Gazette International

Home - International Railway Journal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…