Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua mnatamni sana tuwe kama nyinyi ila hatuwezi. Hizo dream houses zenu zilizotapakaa kila mahali ziko tu kwenye slums huku kwetu. Huwezi pata nyumba kama hizo nje ya slums za Nairobi hata uende hadi wapi
Sasa kama asilimia kubwa ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye slums na wengine kwenye mabox ambayo mchanga unamomonyoka kutokana na kujengwa chini ya kiwango πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana asee kwa kweli sisi watanzania hatuwezi kuishi mazingira mabovu na machafu kama hayo,
Yaani unaishi sehemu ambayo hakuna huduma zozote za muhimu kwa Jamii...iyo ibaki huko huko.
 
LOL what should we say if kenyatfa is a slum citizen πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuko hapa Ubongo slums sijiui vipi mnahave "sex" kwa such slums bila umeme
 
Mtu anawasha jiko afiche aibu lakini hana chakupika na ananjaa hvi hawa watu wana maisha gani πŸ™πŸ™ hvi unaficha njaa huku unakufa kisa mzungu asikuone unanjaa dah

 
Mtu anawasha jiko afiche aibu lakini hana chakupika na ananjaa hvi hawa watu wana maisha gani πŸ™πŸ™ hvi unaficha njaa huku unakufa kisa mzungu asikuone unanjaa dah

Mwenyezi Mungu awanusuru, nimecheki hiyo video hapo kwenye link: Wakenya walalamikia ongezeko la gharama ya maisha mpaka huruma. Wanasiasa wawe makini sana maana maamuzi yao yanachangia kiasi kikubwa sana hali kama hizi
 
Of course hamuwezi ishi mazingira mabovu. Mnaishi mazingira mazuri sana as you can see below πŸ˜‚ πŸ˜‚

Show me anywhere in Nairobi that looks like those places above kama sio slum
 

Attachments

  • Screenshot_20200228-131720.png
    250.5 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…