Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo wewe muache anajifanya chizi dawa yake ya BRT inachemka nyie tulieni tu mutafurah na roho zenu namuandalia bomu zaidi ya GTC niliompa teargass😁😁😁😁😁
 
Hapa huwa nacheka sn sema hujui tuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Dawa niliompa mwenzie huoni siku hzi hawazungumzii tena GTC maana yake dawa imeingia vyema sasa asubiri zangu yake ya BRT nitampa bomu mutacheka na roho zenu tulieni tu😁
 
Hapo mkenya na Mke na Watoto wake wanajiona wanamiliki makazi!!! Hivi unatongoza Demu unampeleka kabisa sehemu kama hiyo na huyo Demu anakubali,kweli mademu wa Kenya is low quality

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimtongoza we mbongo atakuganda mrudi wote. Kwao kugumu kinoma. huku niliko wanakuja kununua parachichi na viazi wako wengi ad sio pw
 
Lakini wana mafuta mengi kupindukia yeneye thamani ya billions of dollars..upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hamna mafuta, na chai haina uwezo wa kuwapa pesa ya kujitosheleza kwa chakula, achaneni na chai na muanze kuzalisha chakula cha kutosha kwanza, hata hilo nalo mnataka tuwafundishe?, otherwise mtaendelea kufa na kudhalilika kwa kutegemea chakula cha misaada hadi mwisho wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Key word kununua......Mexico supplies 70% of fruits and vegetables to USA without much drama. Why do tanzanians personalize everything.....lol.Hii page imefanya mnacatch feelings sana.....but even a fool knows Kenya is better than all countries in East and central Africa despite our shortcomings.
Ukimtongoza we mbongo atakuganda mrudi wote. Kwao kugumu kinoma. huku niliko wanakuja kununua parachichi na viazi wako wengi ad sio pw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…