Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only three level interchange in east and central africa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]

Morogoro road is currently under two major constructions, interchange and expansion from kimara to kibaha. ..
$150M ndio mkwanja unaofanikisha hizo kazi...

Ni barabara gani apo kenya ambayo inaproject namna hiii kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa!!!bado haiwezi badilisha ya kwamba kibera ina watu wasiozidi laki mbili hku uswazi middle class kunaishi mamilioni ya watanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Ukitaka hyo 89% weka 90..lkn ukwel lazima muambiwe...dar uswazi ina cover eneo kubwa zaidi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeokoteza nchi gani hii picha? Maana East Africa tunaendesha upande wa kushoto wa barabara.
Ni wapi nimesema hiyo ni ya east Africa? I used that as an example to ask him inaitwaje. Can't you even see it's a render?
 
Slum nyingine zinacover area ya ukubwa gani?
Kibera is the biggest slum in Nairobi and covers 2.5 square kilometres. Zile dream houses zenu ziko kushoto kulia and covers more than 80% of your city.
 
Kibera is the biggest slum in Nairobi and covers 2.5 square kilometres. Zile dream houses zenu ziko kushoto kulia and covers more than 80% of your city.
Hujajibu swali, slums nyingine zinacover area size gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…