Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji3][emoji3] ushapagawa ss nani kaitaja Nairobi hapo, nmekwambia tumeamua kuwekeza kwenye miundombinu majengo yatakuja yenyewe km ni investors or whoever ila yatakuja yenyewe
Ulisema Magu ameachana na majengo anawekeza kwenye infrastructure. Did you mention investors anywhere? No wonder you are an LDC, kila kitu lazima ifanywe na serikali
 
Ckuwa najua km na nyie mnayo three level interchange [emoji122][emoji122][emoji122]
It's because you think life begins and ends in Tanzania. That was built ten years ago na hatusumbui watu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…