Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu aliyeclaim kuwa hiyo picha ni ya Tanzania? Hiyo ni news article na kuonyesha mfano wa barabara halisi wanaweka picha ya barabara nyingine. Ni ujinga wako tu ndio unaokusumbua.
Hiyo picha imepostiwa ikiwa na maelezo kabisa nashangaa sijui kiherehere anatoa wapi 😂😂😂 ingekuwa labda ilipostiwa bila maelezo angekuwa sahihi lakini Kuna maelezo ndo utagundua wakenya wana akili fupi,
Hiyo barabara ni Hazara motorway kule Pakistan.
 
Wapi maelezo hapa?[emoji23][emoji23][emoji23] This is what your country man posted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…