Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo video umepost inaonyesha nini zaidi ya watu ndani ya gari na shuguli kando ya barabara? What even proves it's Riruta? You you want to have an opinion about a place by using such a video? How stupid!

It's even laughable how you saying the houses I posted ziko nje ya Riruta. Now that you know better, tuletee picha 'halisi' za Riruta. Endelea kuishi ndani ya dream house kaka, usilazimishe tufanane
 
Ina maana huoni vichochoro pembeni ya barabara zinazoelekea kwenye nyumba za mabati,
Ubishi wa kijinga,
Ni pachafu mnoo.
https://epicafricantrip2011.wordpress.com/2011/08/03/riruta-slum-niarobi-kenya/
 
Kwavile mchina aliwajengea SGR kwa siku moja 😁😁😁😁😁 maana munahaha kila siku na SGR ya Tanzania 😁

Utaugua bure jipe shugli ufanye
Hapana bro nipe jina ya hio station ulipost.
 
We also have Ruai "slum'' according to Ichoboy


Compare with your dream houses in middle income estates πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kenya ni full of slums kila kona bila kusahau nyumba za mabati bati after bati lakini hutaki kabisa kusikia kuwa Kenya ina slums kila kona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo riruta slum ni kubwa hapo nimepata tu vipicha picha ambavyo havija cover eneo kubwa.
Hii ndio riruta slum halisi wachana na alicho post,
Tena ni kama wameichapa filters hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyumba za mabati kama kawaida. View attachment 1371632View attachment 1371633View attachment 1371634
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…