This is 34 floors. They insist it's 37 floorsThose guyz nimegundua huhesabu ground floor pia...that means Tpa pekee ndio iko na 35 floor hizo zingine ziko below 35 kama hiiView attachment 1370672
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoa hiyo moja utabaki na ngapi? 😂 😂Jamaa ni kilaza sana kumbe hata kuhesabu kwake ni problem😂😂🤣🤣
What has it now cost you kukubali? Umekufa?Sawa tunakubali tumewahi ku lease ila kwa ss hatufanyi ujinga huo tunanunua on cash basis cz pesa ipo, vp are you happy now [emoji3][emoji3]
Hatuwezi fanana kijana. Wacha kulazimisha mamboUle msemo wa "kwnn mnataka tufanane" angejua km huwa anajipga mwenyewe angeshaachana nao[emoji3][emoji3]
Jibu swali. Hiyo mistake yake imengeza hesabu ya floors kutoka floors ngapi hadi ngapi? Mbona unahepa swali?Dah, poor you.
LOL at the middle of an "estate"Kwa sababu huwezi kutana na hizo takataka zenu Nairobi Kama sio ndani ya slums
Umewalipua[emoji3][emoji3][emoji3]LOL at the middle of an "estate" View attachment 1370889
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1370895
LOL eti estatesUmewalipua[emoji3][emoji3][emoji3]
Mabuti na protection suits? Msaada? Maweeeeeeeeenchi ya ajabu hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani alikuwa anaondoka nje na pesa za kitanzania, ili iweje?angekuwa mchina huko kwao wangemuacha..
Mbona umesahau kuwa mmetuzisi slumHata GDP tumewazidi, SGR, Lamu port vs bagamoyo, riadha, football, rugby, miji, miundo mbinu na njaa Yani zote kote tumewazidi.
which neighborhood is that? Looks like Mathare north to meLOL at the middle of an "estate" View attachment 1370889
That is Mathare which we all know is a slum and looks exactly like those middle income estates of yours with plenty of dream houses. I told you to do a very simple thing but no Kama umeshindwa. Give me a picture Kama zile dream houses zenu hapa Nairobi nje ya slumsLOL eti estates
Kiufupi Hakuna Nairobi bila slums, Hakuna tofauti ya slums na estates Kenya
Zile cages za kufugia broilers hazikaliwi hata na 0.009 population ya Nairobi, wengi wapo kwenye slums View attachment 1370905
tutawazidi na slums Kivipi wakati Dar yenyewe ni slum kushoto kulia?
Nyuma yenu kukunya kwa slum109.13 na si madafu currency ,[emoji23][emoji23][emoji23] hata ethiopia wanafanya mambo mengi lakini wapo tu nyuma yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kq 8 yrs loss
Kenya power 16 yrs
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapo hapa wakisifu GDP
Umeona nimesema Kenya power loss au profit imeshuka 93% sindio inaelekea kwenye loss🤣🤣Hapa umepigwa chenga na kizungu,ati kenya power 16yrs loss[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uheheheh mm niliwaambia over 30 ni 2 buildings only na bado mutashuhudia tu🤣🤣🤣🤣🤣Sasa kwa vile wewe unajua kuhesabu kutuliko, si basi utuhesabie hapa tuone ni floors ngapi. I think that counting is easier and more accurate than drawing a line