Eti data doesn't care about his feelings? π π π π πSijaona .nimesoma data . Data doesnt care about your feelings.wailize hao mabeberu wa IMF mbona wametoa hii list
Sent using Jamii Forums mobile app
Right now I'm a bit busy, akirudi na hizo ujinga zake just mention my name.Atakuambia kwamba that's not the correct way to count floors
Slums ziko Nairobi wala hakuna anayekataa ila ziko in selected areas. Ndio maana huwa nakuambia uniletee picha kama hii kutoka Nairobi outside slum areas na umeshindwaKwnn unaitoa slum au haipo Nairobi? Hzo ndio excuses tunazosema hapa, ondoeni slums kwnz ndo mje tushindane.
Per capital itakuaje zoom apoYeah the same way wametungoja tukiclose the gap btw them..2020 wapo 124bill tupo 109.13 (gap 15b) 2024 watakuwa 161.2 tutakuwa 158( gap 3b)View attachment 1370442View attachment 1370443View attachment 1370444View attachment 1370445
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course zina ubora mkubwa kwa sababu your standards allow them to be described that way and that's why they are even called dream houses. In Kenya, such houses are only found in slums. If you have proof that nyumba kama hizo zinapatikana njee ya slums hapa Nairobi, leta tuone nani utaje jina ya mtaaNyumba hzo zinaubora mkubwa sana kuliko zile zenye mabati ndio maana mzungu huwezi kuskia anataka slum dar kwasababu anajua vzr sana
Sasa unauliza jibu ili nilibadili au unataka tuanze kuimba mapambioSikatai hoja yako. Swali ni: Hiyo kiashiria kizuri mnatushinda?
Tandale Ni makazi holela hakuna mpango ilo liko waziInajulikana kwa lipi? Kwamba it houses dream houses ama? [emoji23] [emoji23]
Kwa nini outside slum areas???Slums ziko Nairobi wala hakuna anayekataa ila ziko in selected areas. Ndio maana huwa nakuambia uniletee picha kama hii kutoka Nairobi outside slum areas na umeshindwa View attachment 1370452
The bottom line is, kama huelewi nyamaza. What will you loose by keeping quiet instead of talking about things you don't understand their content? Wacha kutetea ujinga!English ni lugha km lugha zingine don't be fool, hata wazungu wkt mwngne huwa wanakosea wanapotumia lugha zetu.
Nionyeshe nyumba moja tu kama hizo ambayo ipo kwenye slum za nairobi. .Of course zina ubora mkubwa kwa sababu your standards allow them to be described that way and that's why they are even called dream houses. In Kenya, such houses are only found in slums. If you have proof that nyumba kama hizo zinapatikana njee ya slums hapa Nairobi, leta tuone nani utaje jina ya mtaa
Hata hizi hapa bado ni Tandale π π π
This is part of Kariobangi slumNionyeshe nyumba moja tu kama hizo ambayo ipo kwenye slum za nairobi. .
Hakuna mkenya mwenye ubavu wa kujenga nyumba,labda kibanda ya mabati
π π π I thought mmetudinda per capita income. Kumbe kelele tu!!!!Sasa unauliza jibu ili nilibadili au unataka tuanze kuimba mapambio
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu huwezi kutana na hizo takataka zenu Nairobi Kama sio ndani ya slumsKwa nini outside slum areas???
Unaleta hostel...πππππππ€¦..kwa hiyo hapo ndo huishi watu wenye vipato duni?This is part of Kariobangi slum View attachment 1370472
This is a middle income estate in Dar with uncountable number of dream houses π π π View attachment 1370474
Is it not Kariobangi slum? π π π πUnaleta hostel...πππππππ€¦..kwa hiyo hapo ndo huishi watu wenye vipato duni?
Kama Bagamoyo, pipeline na SGR?Nimeona GDP ya ke $105B kwa mwaka huu
Lakini kwa ground ata $50B ni nyingi sana
Miradi ya kimbuzimbuzi tu ndio imejaa na rushwa, Mtandelea kua na GDP kubwa lakini maendeleo mtayasikia kwa wachache wanaochota pesa za walalahoi bila kufanywa lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
This is part of Kariobangi slum View attachment 1370472
This is a middle income estate in Dar with uncountable number of dream houses [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1370474