The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,993
Af ukae ukijua hilo eneo limeanza kujengwa juzi juzi tu hapa miaka michache tu nyuma halikuwa hivyo, kasi yake ni kubwa so km wewe ni mkazi wa hapo jiandae kuondolewa, nyie ndio mnaoharibu ramani ya jiji kwa kujenga hovyo hovyo [emoji3][emoji3]
Jinga weweAf ukae ukijua hilo eneo limeanza kujengwa juzi juzi tu hapa miaka michache tu nyuma halikuwa hivyo, kasi yake ni kubwa so km wewe ni mkazi wa hapo jiandae kuondolewa, nyie ndio mnaoharibu ramani ya jiji kwa kujenga hovyo hovyo [emoji3][emoji3]
Kwani wewe kinachokusumbua ni nini? Maendeleo? Na umesema kuwa unaishi nyuma ya hayo majengo kwa hiyo inamaanisha unaishi uswazi sio? Wewe ni chanzo cha maeneo hayo kuwa hivyo. Serikali inajenga barabara za lami nyuma ya hayo majego vizuri tu ila watu kama nyie ndio mnatia doa. Sasa sielewi unayemlalamikia ni nani. Jilalamikie mwenyewe. Jinga wewe
Bila aibu anasema eti anakaa nyuma ya hilo jengo af ni uswazi, ss cjui anataka kumaanisha nini au hawa ndio wale wapuuzi wanaosubiri serikali imfanyie kila kitu, yn GoT imepeleka kila kitu maeneo hayo, maji, mitaro km mahandaki, 8-9 lane road, majengo ya kuvutia lkn kuna wapuuzi wanalitia doa eneo af wanakuja kujicfu ushuzi hapa....smhKwani wewe kinachokusumbua ni nini? Maendeleo? Na umesema kuwa unaishi nyuma ya hayo majengo kwa hiyo inamaanisha unaishi uswazi sio? Wewe ni chanzo cha maeneo hayo kuwa hivyo. Serikali inajenga barabara za lami nyuma ya hayo majego vizuri tu ila watu kama nyie ndio mnatia doa. Sasa sielewi unayemlalamikia ni nani. Jilalamikie mwenyewe. Jinga wewe
Huyu katumwa huyu....sio bureBila aibu anasema eti anakaa nyuma ya hilo jengo af ni uswazi, ss cjui anataka kumaanisha nini au hawa ndio wale wapuuzi wanaosubiri serikali imfanyie kila kitu, yn GoT imepeleka kila kitu maeneo hayo, maji, mitaro km mahandaki, 8-9 lane road, majengo ya kuvutia lkn kuna wapuuzi wanalitia doa eneo af wanakuja kujicfu ushuzi hapa....smh
Btw ana fonts za kikenyaHuyu katumwa huyu....sio bure
Wanapenda mtelezo sana, unaenda nchi ya watu n ten unataka wakutreat sawa na citizens. Wajaribu kwenda kuwekeza nchi kama misri, algeria, n.kThanks magufuli kweli tumeona🤝🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😀 Mkuki kwa nguruweJuzi hapa kuna fools walitetea protectionism of Kenya towards Ugandan dairy products! So why ng'e-ng'e-ng'e?
And some people are busy comparing Nairobi with their tiny ass...if i am not wrong that is just a small section of Wetlands and Kileleshwa in the background according to ur photoGood morning from NBO [emoji108][emoji108]View attachment 1369397
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL between Dar and Nairobi who is in the right place to call his fellow a "tinny ass"? Dar is three times bigger than Nairobi, put that in mind firstAnd some people are busy comparing Nairobi with their tiny ass...if i am not wrong that is just a small section of Wetlands and Kileleshwa in the background according to ur photo
Sent using Jamii Forums mobile app
I mean developed area not slums and bushesLOL between Dar and Nairobi who is in the right place to call his fellow a "tinny ass"? Dar is three times bigger than Nairobi, put that in mind first
I mean developed area not slums and bushestapatalk_1582434355240.jpeg Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi tuweke ukuta mpakani maana wazee wa middle class watafurika kuja kupata huduma za mdondo!
LOLDo you know 92% of Dar is slum?.It will take age's for you guyz reach where Nairobi isView attachment 1369518View attachment 1369519View attachment 1369520
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenyatta yupo ujeruman na bakuli ngoja tusubirie labda miradi itakick 😁Pinnacle iko wapi???
SGR vP naskia majani tu 1b ksh🤣🤣🤣
Vp kq bado munamiliki ndege 3 miaka 35 sasa
Vipi kuhusu konza imefkia wapi
Unaeza nioneshe tatu city atleast iwe imefika 20% from a render coz ina zaidi ya miaka 10 toka nimeijua
Vp kuhusu Nairobi 88 na montave zimeenda mbinguni🤣🤣🤣🤣
Wapi ile BRT ya kuchora ya thika bado alama hazijafutika tu😁😁😁😁
Wapi Nairobi mombasa Express way imeishia kwa mfuko wa jubileee😁😁😁😁
Kuna ndugu yako alinidanganya mumeanza kujenga westland expressway unaeza nioneshe wapi munajenga 😁😁😁😁
Vp kuhusu locusts wameing county gani bro wape salamu waambie checheiii👍👍👍
Kenyatta baba lao🤣🤣🤣🤣
Rasilimali watu ndio next big thing ,ukiamua kujenga lazima uajiri
I love how you've used facts to argue with him.
Rasilimali watu ndio next big thing ,ukiamua kujenga lazima uajiri
Sent using Jamii Forums mobile app