Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imebaki tu ikichapa route za ndani? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Comoros
Zambia
Uganda
Zimbabwe
India
Burundi
China soon

Tulieni sindano iwaingie πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
Miaka 3 air Tanzania ina ndege 11 mpya na tatu zinaingia mwaka huu

Kq ina miaka 35 in service ina ndege 3 huoni maajabu🀣🀣🀣 bila kusahau loss making kama kawa
 
Ebu kuwa muelewa,
Nimesema sijawahi kuisikia hiyo mbuga,sio sijawahi sikia kuhusu white lion..sasa vitu vidogo ka hivi unashindwa kuelewa, je mambo makubwa utayaweza kweli??!!!..but I won't blame you boy,cuz I know Swahili ain't ya thing..
 
Sisi sio kama nyinyi who live in denial and sugarcoat things. Hakuna mkenya hapa amewahi Kataa eti hakuna slums. On the other hand, you deny that 70% of your city is made up of squalors that are christened dream houses.
Okay give me the definition of the term "dream house"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…