Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani angalieni ruai πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na hii picha waliopost ndio utajua hawa watu wanaupuuzi sana









Picha waliopost sijui wameokota wapi 🀣🀣🀣🀣
 
Because you know better than us, ebu tuambie hapo ni wapi Mr know it all.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio picha irudishe mahali mumepotoa na kupost picha za ruai kabla mm sijakusaidieni kupost sasa hviπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Jamani angalieni ruai πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na hii picha waliopost ndio utajua hawa watu wanaupuuzi sana View attachment 1365877









Picha waliopost sijui wameokota wapi 🀣🀣🀣🀣View attachment 1365876
 
So ulikuwa unataka nipost picha za google map ndio uamini? My friend I don't work like that. Is like nianze kusema eti the first pic sio Kijitonyama juu Kijitonyama ni tofauti kwa google map.View attachment 1365882

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio picha irudishe mahali mumepotoa na kupost picha za ruai kabla mm sijakusaidieni kupost sasa hviπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Wakizidiwa wanatafuta usaidizi sehemu zingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Angalia namna Tanzania ilivyo na uwiano wa ukuaji, proportional economic growth, katika miji 15 itakayokua zaidi duniani Tanzania Ina miji mitatu

Chanzo cha Nairobi kuwa world's slums headquarters ni kutokana na kwamba counties zote Kenya wananchi wake wote wanaiangalia Nairobi as their place of financial and well-being refuge kitu ambacho Tanzania Hakuna

Maendeleo ya Tanzania ni kila mkoa na ndio maana kila mkoa unakua sawa kwa uwiano

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…