Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jibu swali ile picha uliopost ni Nairobi sehemu gani simple qns🤣🤣🤣🤣🤣

Hapa ni Nairobi sehemu gani ukipata nitag mm
 
Aisee hii nayo ni Tanzania??!!!...mbona tumebarikiwa sana...

Sijawahi sikia hii japokuwa nimeishi tz miaka mingi sana
Ndo hvyo kaka tuko na mali nyingi sn so ukisikia Magu anajinadi kuwa ni tajiri ujue anamaanisha.
 
Kitekinolojia wakenya mko nyuma yetu hii utaratibu ya kukata ticket ilikuwa inatumika tazara 1998,lakini nimeshangaa leo naiona kwenye modern SGr yenu... hahahaaaaaaaa you guys kumbe hamna kitu
 

Attachments

  • Screenshot_20200222-105311.png
    102.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20200222-105302.png
    141 KB · Views: 14
  • Screenshot_20200222-105252.png
    134.9 KB · Views: 18
  • Screenshot_20200222-105252.png
    134.9 KB · Views: 15
Hehehhe watanzania hakikisheni huyu anawaambia hapo ni sehemu gani nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
Huu ndio ujinga wa wakenya yn wako radhi kuongopa ili wapate sifa which is typically unprofessional.
 
Kitekinolojia wakenya mko nyuma yetu hii utaratibu ya kukata ticket ilikuwa inatumika tazara 1998,lakini nimeshangaa leo naiona kwenye modern SGr yenu... hahahaaaaaaaa you guys kumbe hamna kitu
Mkenya ukiskia akijisifu unaeza sema nchi fulani iko Europe kumbe ushuzi wa bata wananuka umaskini kuliko nchi yoyote Africa mashariki🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…