babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Nilisikia sijui wanatumia gun's and teargass kuwafukuza 😂😂😂Hawa ukipiga dawa hawafi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilisikia sijui wanatumia gun's and teargass kuwafukuza 😂😂😂Hawa ukipiga dawa hawafi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hee kumbe teargass ni definition ya locustsNilisikia sijui wanatumia gun's and teargass kuwafukuza


Dawa zenyewe wanazo kwani, budget yote iko mifukoni mwa watu🤣🤣🤣🤣Hawa ukipiga dawa hawafi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Enhhh wanjala mpaka leo unapumua, long time bro 😁😁😁😁😁
Hahahaa hao unafukuza kiufundi ka zinavofukuzwa mvua tu... Huji kuwaona tz hao wazee washafanya yao hahaha tz raha daa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nzige wakipigwa hayo mabomu ya machozi watasikia kweli 😂😂😂Hee kumbe teargass ni definition ya locusts![]()
Haha sa hii ndo imenihit kwamba Dar is a slum hainanga cbd. What a poor city.Dar es sluum haina hata CBD(katikati mwa jiji) na Kama nimesema uongo Leta picha za CBD yenu.
View attachment 1362381View attachment 1362386
Then debunk me me with facts. Hako kakitu kenu ni kanyonge Sana kakawekwa mzigo ya SGR Kenya reli inajikunja na kuingia kokotoni.
It doesn't have a CBD in fact kwa mlango ya pspf towers Kuna wauza Chipsi mayai na mama ntilie. It is a slum with 3 skyscrapers.Haha sa hii ndo imenihit kwamba Dar is a slum hainanga cbd. What a poor city.
It doesn't have a CBD in fact kwa mlango ya pspf towers Kuna wauza Chipsi mayai na mama ntilie. It is a slum with 3 skyscrapers.
Weka CBD yenu if at all kunayo...sisi tua CBD 3 week yako 0.Noma sana Mwasiti. Hapa kulia mnataka kupanda migomba?
View attachment 1362718
Sent from my iPhone using JamiiForums
tuna wajengea kiwanda cha rangi za magari mzidi kuyanogesha hayo malori 😁